Recent posts
29 September 2024, 8:18 am
Wafugaji wa mbwa Katavi watakiwa kuwachanja kuepukana na kichaa
Zaidi ya chanjo 300 zimetolewa kwa ajili ya kuendeleza kuchanja mbwa katika manispaa ya Mpanda. Na Ben Gadau -Katavi Katika maadhimisho ya siku ya kichaa cha mbwa duniani Septemba 28, Kampuni ya Matamba veterinary clinic imepokea chanjo zaidi ya mia…
24 September 2024, 9:16 pm
Wananchi Katavi watakiwa kuzingatia unywaji maji ulio sahihi
picha na mtandao “Kitaalamu unywaji wa maji unatofautiana kulingana na jinsia; wanawake, wanaume na watoto kuzingatia unywaji huo husaidia zaidi mzunguko mzuri wa damu,“ Na Rachel Ezekia -Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia viwango sahihi vya unywaji…
24 September 2024, 8:47 pm
Rasilimali zilizopo Katavi fursa ukuaji uchumi kwa wananchi
“Wapo wananchi ambao hawaelewi juu ya kuchangamkia fursa zinazopatikana mkoani Katavi” Na Roda Elias-Katavi Wananchi mkoani Katavi wameeleza namna wanavyonufaika na rasilimali zilizopo huku wakiiomba serikali kutatua baadhi ya changamoto . Rasilimali zilizotajwa ni kama vile viwanda vidogo, uwepo wa…
24 September 2024, 8:24 pm
Katavi : ACT wazalendo waja na mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
picha na mtandao “Tunatakiwa kujipanga kwa ajili ya kushiriki na kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa “ Na Lilian Vicent -Katavi Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT wazalendo mkoani katavi wamesema kuwa wamejiandaa kushiriki uchaguzi wa…
24 September 2024, 8:03 pm
Wananchi Katavi walilaumu jeshi la polisi, raia kujichukulia sheria mkononi
“Sababu zinazopelekea baadhi ya wananchi kujichukulia sheria mkononi ni kutokana na baadhi ya watu wanaofanya matukio ya kihalifu kutochukuliwa hatua za kisheria .” Kutokana na uwepo vitendo vya baadhi ya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuwajeruhi , kuwasababishia vifo kwa…
20 September 2024, 10:54 am
RC Katavi awataka viongozi wa mitaa, kata kutoa elimu ya uchaguzi
” Wamepokea maelekezo ya Mkuu wa Mkoa na tayari wameshaanza kutoa elimu kwa maeneo mbalimbali“ Na Leah Kamala-Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka watendaji wa serikali katika mitaa, vitongoji na vijiji kutoa elimu kwa wananchi juu ya…
18 September 2024, 12:03 pm
Katavi walaumu wanaoficha vitendo vya ukatili wa kijinsia
“Vitendo vya ukatili wa kijinsia havifai na vinapaswa kukemewa kwani vinazidi kukithiri na kuleta athari kubwa haswa kwa watoto na wanawake.“ Na Lazaro Maduhu-Katavi Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali iweke juhudi ya ufutiliaji wa masuala…
18 September 2024, 11:05 am
Katavi: Wananchi waja juu takataka kutozolewa kwa wakati
Baadhi ya takataka zilizopo kwenye nyumba mbalimbali katika mtaa huo na hazijazolewa.picha na Samwel Mbugi “wameilalamikia serikali kwa kuto kuzoa taka kwa wakati jambo linaloweza kusababisha mlipuko wa magonjwa kama vile kipindupindu.” Na Samwel Mbugi -Katavi Wananchi wa mtaa wa…
13 September 2024, 12:56 pm
Katavi:Afisa muuguzi aondoa utata kati ya ugonjwa wa degedege na kifafa
Rajabu Mollel Manaya afisa muuguzi Daraja la pili idara ya upasuaji na magonjwa ya ndani ya kina mama hospitali ya rufaa mkoani Katavi .picha na Rechel Ezekia “Mitazamo yao kuhusiana na degedege kwa Watoto katika jamii huku wakihusianisha na imani…
13 September 2024, 11:59 am
Katavi:Kiongozi wa mbio za mwenge”miradi iendane na thamani ya pesa”
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa katika picha akiwa na viongozi wengine wilaya ya mpanda akiwemo mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusuph.picha na Betord Chove “Wajibu wa watekelezaji wa mradi huo pamoja na serikali kuhakikisha jengo hilo linakuwa na…