Recent posts
20 March 2023, 4:54 pm
Kisa Kupimwa VVU Wanaume Kutowasindikiza Wake zao Kliniki
MPANDA Hofu ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi imetajwa kuwa ni moja ya sababu kwa baadhi ya wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kushindwa kuwasindikiza wenza wao kwenye vituo vya kutolea huduma za kilinic pindi…
20 March 2023, 6:10 am
Wananchi Katavi Walia na Bei ya Mahindi
KATAVI Wananchi Mkoani Katavi wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa Kusimamia ili kushusha bei ya Mahindi ambayo bado imeonekana kuwa kubwa kwa wananchi. Wakizungumza na Mpanda Redio fm wananchi hao wamesema serikali isimamie kwa ukaribu juu ya kuangalia namna ya kushusha…
18 March 2023, 7:17 am
“CCM imebeba maono aliyokuwanayo Magufuli”amesema Kimanta.
KATAVIWananchi mkoani Katavi wameeleza namna wanavyo mkumbuka aliyekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli,na kueleza pia jitihada zinazofanywa na Rais wa awamu ya sita Dk Samia suluhu Hassain . Wakizungumza na…
15 March 2023, 12:11 pm
Hewa Ukaa Kuwanufaisha Wakazi wa Mwese na Zahanati
TANGANYIKA. Wananchi wa Kijiji cha Lugonesi Tarafa ya Mwese wilayani Tanganyika walionufaika na Fedha za mradi wa hewa ya ukaa, wameshukuru kuwepo kwa mradi huo, kwani umewawezesha kujenga zahanati kijijini hapo. Wakizungumza mbele ya mkuu wa mkoa wa Katavi alipokuwa…
15 March 2023, 12:05 pm
Kamanda Makame Awaasa Wananchi Kuishi Katika Misingi ya Dini.
KATAVI Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa katavi Ali Makame Hamadi amewataka wananchi kuishi katika misingi na maadili ya dini ili kuondokana na matukio kiuhalifu. Ameyasema hayo wakati akishiriki ibada katika kanisa la New harvest kijiji cha songambele Halmshauri…
15 March 2023, 11:57 am
Diwani Magamba Atoa Sikumbili kwa Kikundi cha Kagera Group Kurahisisha Uchaguzi
MPANDA Diwani wa kata ya magamba ametoa siku mbili kwa Uongozi wa kikundi cha kagera group kuwasilisha taarifa ya uendeshaji wa kikundi hicho ili kurahisisha agenda ya uchaguzi kuziba nafasi za viongozi waliovuliwa nyadhifa zao. Agizo hilo limetolewa na diwani…
15 March 2023, 11:48 am
Parokia ya Katumba Yatoa Msaada kwa Watoto Yatima
MPANDA Katika kuazimisha kipindi cha mfungo wa kwaresima parokia ya kanisa katoliki Katumba imetoa msaada wa zaidi ya laki saba kwa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaotoka katika mazingira magumu kilichopo kata ya nsemlwa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.…
14 March 2023, 7:35 pm
Waandishi Katavi Walia na Changamoto kwa Mkuu wa Mkoa
KATAVI Waandishi wa Habari mkoani Katavi wamemuomba mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko kutatua changamoto zinazowakabili , ikiwemo kukosa bima ya afya, kukosa mikopo na kukosa ushirikiano kwa baadhi ya wakuu wa idara. Wakizungumza mbele ya mkuu wa…
14 March 2023, 7:18 pm
Wadau wa Maendeleo Waombwa Kuchangia Ujenzi wa Zahanati Makanyagio
KATAVI Wadau wa maendeleo Mkoani katavi wameombwa kusaidia ujenzi wa Zahanati ya Kata ya Makanyagio iliyopo Manispaa ya Mpanda. Afisa mtendaji wa Kata ya Makanyagio Maiko Ndaile amesema kuwa tayari wameanza ujenzi kwa michango ya wananchi wakishirikiana na Viongozi ndani…
13 March 2023, 9:47 am
Tofali 10,000 Kuwezesha Kuanza kwa Ujenzi Shule ya Msingi Msasani
KATAVI Jumla ya Tofali Elfu kumi zimepokelewa na kamati ya Ujenzi wa Shule ya Msingi Msasasani iliyopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule. Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Shule Celestine Shemtange ameiambia Mpanda…