Recent posts
27 March 2023, 5:29 pm
Waumini wa Dini ya Kiislamu Waaswa Kutenda Mema
KATAVI. Waumini wa dini ya kiislam mkoani Katavi wameaswa kuachana na mambo yasiyofaa katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani na badala yake kuishi kwa wema na kufanya matendo ya kumpendeza mwenyezi mungu na jamii kwa ujumla. Wito huo umetolewa…
27 March 2023, 5:28 pm
Wananchi Waomba Elimu Zaidi Juu ya Kifua Kikuu
Mpanda Zikiwa zimepita siku chache tangu yafanyike maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani Baadhi ya wakazi manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamesema kuwa hawana uelewa juu ya ugonjwa huo na kuitaka serikali kuongeza jitihada za kutoa elimu. Wakizungumza na…
25 March 2023, 12:38 am
Wananchi Kijiji cha Kayenze wajipanga kuchangishana Ili kujenga choo cha soko.
KATAVIKijiji cha Kayenze kata ya Katuma Wilayani Tanganyika mkoani Katavi kimepanga kuchangishana kwa ajili ya ukamilishaji wa Jengo la Choo katika Soko Linalomilikiwa na kijiji. Diwani wa kata ya katuma Paulo Pamasi ameiambia mpanda Radio kuwa kuanzia mwezi ujao mara…
25 March 2023, 12:32 am
Wafanyabiashara Mpanda hotel walalamikia ushuru.
MPANDAWafanya biashara wa soko la Mpanda hotel manisapaa ya Mpanda Mkoani Katavi wanaouza matunda ya msimu nje ya soko, wamelalamikia ushuru wanaotozwa na kuomba kupewa ruhusa ya kuuza biadhaa nyingine ambazo sio za msimu nje ya soko. Wameyasema hayo katika…
25 March 2023, 12:25 am
“Wanafunzi wafundishwe lugha kwanza”Msonde.
KATAVIWalimu wa shule za sekondari na msingi mkoani Katavi wametakiwa kujikita kuwafundisha lugha wanafunzi Ili kutengeneza mazingira rafiki ya uelewa katika masomo. Hayo yamesemwa na Naibu katibu mkuu ofisi ya rais Tamisemi Dk. Charles Msonde katika kikao kazi na taasisi…
24 March 2023, 7:14 pm
Pinda aombwa kutatua uhaba wa watumishi ofisi za ardhi.
KATAVIKamishna wa ardhi mkoa wa katavi amemuomba Naibu wa Ardhi Nyumba Maendeleo na Makazi Geofrey Pinda kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi katika ofisi za ardhi. Akizungumza Kamishna wa ardhi Geogrey Martin amesema idara ya ardhi imekuwa na uhaba wa…
22 March 2023, 10:50 am
Tbs na Sido watoa mafunzo Kwa wasindikaji na wazalishaji wa Mpunga.
KATAVISerikali kupitia Shirika la viwango Tanzania TBS kwa kushirikiana na shirika la kuhudumia viwanda vidogo SIDO limeanza kutoa mafunzo kwa wasindikaji na wazalishaji wa zao la mpunga mkoani Katavi lengo likiwa ni kuongeza uzalishaji na ubora wa bidhaa za chakula…
22 March 2023, 7:46 am
Uwepo wa wadhamini wa kilimo umeongeza tija katika mazao Katavi.
KATAVIUwepo wa Wadhamini wa kilimo katika mkoa wa katavi utasaidia ukuaji wa maradufu wa tija ya uzalishaji katika mazao mkoani hapa. Akiongea katika kongamano la Wadau wa Sekta ya Kilimo wa Pass Trust kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa…
20 March 2023, 5:05 pm
Miti Yapandwa Kituo cha Afya Kazima
KATAVI Wanawake wa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania [KKKT ]na Wanawake wakatoliki wa Tanzania [WAWATA]jimbo la Mpanda wameeleza umuhimu wa utunzaji mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji wa miti. Wameyasema hayo wakati wa zoezi la upandaji miti ambalo limefanywa…
20 March 2023, 5:02 pm
Wananchi Katavi Watoa Maoni Mseto Miaka 2 ya Dr. Samia Suluhu
MPANDA Baadhi ya wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi wametoa maoni mseto ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Dr Samia Suluh Hassan baada ya kutimiza miaka miwili ya uongozi wake. Wakizungumza na kituo baadhi ya wananchi hao wametaja…