Recent posts
1 November 2024, 3:06 pm
Katavi:Takukuru yaokoa fedha zaidi ya Tshs milion 6
kaimu mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Katavi Stuart Kiondo.picha na Samwel Mbugi “ametoa rai kwa wananchi wote wa mkoa wa Katavi kutoa taarifa za vitendo vya Rushwa hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa November 27…
30 October 2024, 4:33 pm
DC Tanganyika azindua bweni la wasichana sekondari ya Sitalike
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu, picha na Lea Kamala “Kukamilika kwa bweni kutatatua changamoto iliyokuwa ikiwakabili wanafunzi wa kike na kuchangia kutomaliza masomo yao.” Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu kwa niaba ya Mkuu Wa Mkoa wa…
28 October 2024, 8:59 am
Katavi:Wananchi wilayani Tanganyika watakiwa kutunza miradi inayotekelezwa na se…
Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbalawa .picha na Ben Gadau “Miradi hiyo inatokana na pesa zilizopatikana katika mradi wa hewa ukaa ambao ni jumla ya bilioni 22 ambapo vijiji 8 vya halmashauri ya wilaya ya Tanganyika vinanufaika na mradi huo.“…
26 October 2024, 2:50 pm
Zawadi zatolewa katika muendelezo wa matukio wiki ya Mwana Katavi
katibu tawala wilaya ya mlele akimuwakilisha mkuu wa wilaya hiyo na kutoza zawadi kwa washindi “wamefurahishwa na michezo hiyo huku wakiwashauri wananchi kuwa na desturi ya kujaribu na kujiamini.“ Na Leah Kamala -Katavi Katibu tawala wa wilaya ya Mlele Yahya…
26 October 2024, 12:10 pm
RC Katavi azindua wiki ya mwanakatavi, fursa ni nyingi
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko , wanne kutoka kulia picha na Rachel Ezekia “Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amezitaka taasisi ambazo hazijazindua maonyesho kuzindua maonyesho katika wiki ya mwanakatavi“ Na Rachel Ezekia- Katavi Mkuu…
25 October 2024, 3:11 pm
Tuelimike yatoa elimu kwa wananchi kuelekea uchaguzi serikali za mitaa
Mkurugenzi wa asasi ya Tuelimike kijiji cha isanjandugu halmashauli ya nsimbo Douglas Mwaisaka picha na Lea Kamala ” Wananchi wanapaswa kuchagua kiongozi ambaye atakuwa tayari kushirikiana na jamii yake, mwenye nia na uwezo wa kuwaongoza.” Na Lea Kamala Wananchi wa…
25 October 2024, 2:35 pm
Tanganyika wahimizwa kulinda miundombinu inayojengwa
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu, amemtaka mkandarasi kuhakikisha daraja la Ifume linajengwa kwa ubora ili liweze kuwaondolea wananchi wa maeneo hayo kero ya kutumia barabara hususani msimu wa mvua. Wananchi wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wametakiwa kulinda miundombinu…
24 October 2024, 1:00 pm
Katavi: Wananchi washauriwa kuwaunga mkono watu wenye ulemavu ili kuwania uongoz…
Picha na Mtandao ” Watu wenye ulemavu wanapaswa kugombea nafasi kama watu wenginepasipo kujali ulemavu wao “ Wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani Katavi, wameshauriwa kuwaunga mkono na kutowakatisha tamaa watu wenye ulemavu pale wanapotaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi..…
21 October 2024, 11:23 am
Polisi Katavi wabaini wizi kwa abiria wasiopatiwa tiketi mtandao
SSP Deus Sokoni, Mwanasheria wa kikosi Cha usalama barabarani.picha na Anna Milanzi “Kuna baadhi ya makondakta na mawakala ambao hawatoi tiketi mtandao kwa abiria na kuwapatia tiketi za mkono hali ambayo hupelekea abiria hao kuibiwa kwa kuongezewa nauli jambo ambalo…
17 October 2024, 10:32 am
Katavi:Wataalamu wa kilimo watakiwa kutoa elimu ya kilimo kwa wakulima
Picha na mtandao “Wamejipanga kuhakikisha wakulima wanalima kilimo chenye tija kwa kutumia mbinu bora zitakazosaidia kuzalisha kwa tija.” Na Lilian Vicent -Katavi Baadhi ya wakazi mkoani Katavi wamewataka wataalamu wa kilimo kuendelea kutoa elimu kwa wakulima ili kuhakikisha uzalishaji wa…