Mpanda FM

Recent posts

20 October 2023, 6:17 am

Katavi kuadhimisha wiki ya Mwanakatavi kwa kutangaza vivutio vya utalii

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka wanachi kujitokeza kuchangamkia fursa katika kuelekea wiki ya Mwanakatavi. Na Ben Gadau – KataviMkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka wanachi kujitokeza kuchangamkia fursa katika kuelekea wiki ya mwanakatavi…

20 October 2023, 5:57 am

RPC Katavi awataka wazazi, walezi kuzingatia malezi

Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amewataka wazazi na walezi kuzingatia mahitaji muhimu ya Watoto . Na Ben Gadau – KataviKamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amewataka wazazi na walezi kuwatimizia mahitaji…

20 October 2023, 5:43 am

Mrindoko awaonya watendaji wazembe

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewaonya watendaji wa zembe katika ngazi ya Kata,Mitaa na Maafisa Tarafa Na Bertold Chove – KataviMkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewaonya watendaji wa zembe katika ngazi ya Kata,Mitaa na Maafisa Tarafa…

14 October 2023, 10:52 am

Mwese kung’arishwa na umeme ifikapo Disemba

Tanganyika Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema hadi kufikia Disemba 31,2023 wananchi wa vijiji katika kata ya Mwese watakuwa wamefikiwa na huduma ya umeme. Ameyasema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha Kumekucha Tanzania baada ya wananchi wa…

14 October 2023, 10:20 am

Wananchi Katavi washauriwa kumaliza dozi

Wananchi Katavi washauriwa kumaliza dozi za dawa wanazoandikiwa Na Kalala Robert – MpandaWananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameshauriwa kumaliza dozi za dawa wanazoandikiwa na madaktari ili kuweza kuuwa vijidudu na kuacha afya zao zikiwa salama. Mtu asipomaliza dozi ya…

14 October 2023, 9:35 am

Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi lafanikiwa kukamata watuhumiwa 124

Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi kupitia Misako limefanikiwa kukamata watuhumiwa 124 kwa makosa mbalimbali. Na Gladness Richard – Katavi Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi kupitia Misako iliyofanyika katika kipindi cha mwezi September 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 124 kwa…

13 October 2023, 3:52 am

Ikolongo waomba wataalamu wa afya kutoa elimu ushiriki wa wanaume kliniki

Wanananchi wa kijiji Cha Ikolongo Halmashauri ya nsimbo mkoani katavi wameomba wataalamu wa afya kuendelea kutoa elimu kuhusu ushiriki wa wanaume kwenda kliniki. Na Festo Kinyogoto – NsimboWanananchi wa kijiji Cha Ikolongo Halmashauri ya nsimbo mkoani katavi wameomba wataalamu wa…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.