Mpanda FM

Recent posts

1 October 2023, 6:35 pm

TRA yawataka wananchi kuwa na utaratibu wa kutoa na kudai risiti

TRA mkoa wa Katavi imewataka wananchi mkoani hapa ikiwemo wafanyabiashara na wanunuzi kuwa na utaratibu wa kutoa na kudai risiti KATAVI. Mamlaka ya mapato mkoa wa Katavi imewataka wananchi mkoani hapa ikiwemo wafanyabiashara na wanunuzi kuwa na utaratibu wa kutoa…

1 October 2023, 6:26 pm

Uelewa mdogo juu ya kansa ya matiti kwa wananchi Katavi

Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuelewa sababu zinazo sababisha   tatizo la kansa ya matiti Katavi Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuelewa sababu zinazosababisha tatizo la kansa ya matiti kwa wanawake ili kupata ufumbuzi wa haraka kipindi dalili zinapojitokeza. Mganga Mkuu manispaa ya…

1 October 2023, 6:00 pm

Wazazi Kasekese washauriwa kuunda kamati ya chakula

Wazazi na walezi wa Kagunga kata ya Kasekese wilayani Tanganyika wameshauriwa kuunda kamati ya chakula. TANGANYIKAWazazi na walezi wa kijiji cha Kagunga kata ya Kasekese wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameshauriwa kuunda kamati ya chakula kwa ajili ya mwaka mpya wa…

1 October 2023, 5:47 pm

Madereva watakiwa kuchukua tahadhari katika msimu wa mvua

Madereva wa magari ya abiria na binafsi mkoani Katavi wametakiwa kuwa makini na kuchukua tahadhari katika kuelekea msimu wa mvua za masika KATAVI.Madereva wa magari ya abiria na binafsi mkoani Katavi wametakiwa kuwa makini na kuchukua tahadhari katika kuelekea msimu…

28 September 2023, 11:29 pm

Baraza la madiwani Mpanda lapitia bajeti ya fedha

Baraza la Madiwani Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wafanya kikao kifupi cha mapitio ya bajeti ya fedha kwa mwaka 2022 – 2023. Na Mwandishi wetu – MpandaBaraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi limefanya kikao kifupi…

28 September 2023, 7:17 am

Mpanda na kampeni dhidi ya wazazi wanaoshindwa kupeleka watoto shule

Mansipaa ya Mapanda yaanzisha kampeni ya kufuatilia wazazi na walezi wanashindwa kuwapeleka Watoto shule Na John Benjamin – MpandaHalmashauri ya mansipaa ya Mapanda mkoani Katavi imeanzisha kampeni ya kufuatilia na kuhakikisha inawachukulia hatua wazazi na walezi ambao wanashindwa kuwapeleka Watoto…

28 September 2023, 6:26 am

Makundi ya kihalifu na utelekezaji wa watoto

Utelekezaji wa watoto katika familia inatajwa kuwa ni miongoni mwa sababu zinazopelekea ukosefu wa elimu kwa vijana na kuongezeka kwa makundi ya kihalifu Katavi. Na Ben Gadau – MpandaUtelekezaji wa watoto katika familia inatajwa kuwa ni miongoni mwa sababu zinazopelekea…

28 September 2023, 12:09 am

Shughuli za utafutaji zinavyochangia utelekezaji wa familia

Wazazi na walezi mkoani Katavi wameaswa kuachana na tabia ya kusafiri kwa lengo la kufanya shughuli za utafutaji na kutelekeza familia Na William Liwali – Katavi Wazazi na walezi mkoani Katavi wameaswa kuachana na tabia ya kusafiri kwa lengo la…

26 September 2023, 6:03 pm

Manispaa ya Mpanda yapokea dozi 500 kuelekea siku ya kichaa cha mbwa

Kuelekea Maadhimisho ya siku ya kichaa cha mbwa duniani Manispaa ya Mpanda imepokea dozi mia tano kwa ajili ya kuchanja ili kukabiliana na kichaa cha Mbwa. Na Alvero Solomon – MpandaKatika kuelekea Maadhimisho ya siku ya kichaa cha mbwa duniani…

26 September 2023, 5:47 pm

Buswelu: waumini endeleeni kupinga matendo maovu kwenye jamii

Na Veronica Mabwile – KataviWaumini wa madhehebu mbalimbali Mkoani Katavi wameombwa kuendelea kupinga matendo maovu yanaojitokeza katika jamii ikiwemo kamchape na lambalamba ili kuendelea kulinda amani iliyopo . Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu kwa…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.