Recent posts
30 May 2024, 12:03 pm
Wananchi kumlinda binti mwenye ulemavu dhidi ya mimba za utotoni
Viti mwendo sambamba na nyenzo zingine za kusaidia watu wenye ulemavu kutoka sehemu moja kwenda nyingine .picha na Mtandao “wasichana wenye ulemavu wana ndoto na wanapaswa kufikia malengo yao ,jamii inapaswa kuwalinda wasichana wenye ulemavu“ Na Ben Gadau- Katavi Wazazi…
30 May 2024, 10:36 am
Misitu 30 kuboresha biashara ya Kaboni Katavi
Mkuu wa mkoa wa Katavi akiwa wilayani Tanganyika .picha na site tv “Halmashauri zote mkoani katavi zinapaswa kutunza mazingira ili kunufaika na biashara ya hewa ukaa na kukuwa kiuchumi“ Na Betold Chove- Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko…
28 May 2024, 12:38 pm
Wananchi Misunkumilo walia ukosefu wa kituo cha afya
Wamebainisha kuwa kwa sasa huwalazimu kupata huduma za afya katika zahati ya Shule ya wasichana ya Mpanda ama kusafiri hadi mjini kuja kupata huduma hiyo hali ambayo imekuwa ikiwagarimu muda na pesa kwa ajili ya usafiri.”Picha na mtandao Na John…
24 May 2024, 10:05 am
Katavi: Watoto waendelea kuogelea mto Misunkumilo
“Serikali ya mtaa haitasita kuchukua hatua kwa wazazi ambao watoto wao watabainika wanazurura mtaani, amesema mwenyekiti wa mtaa wa Mpanda Hoteli Christina Mshani” Picha na Samwel Mbugi Wazazi Mpanda Hoteli Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kutimiza wajibu Wa kuwalinda…
24 May 2024, 9:19 am
Wawili wanaswa na bangi 110kg Tanganyika
“Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amewataka wananchi wilayani humo kuacha kujihusisha na na shuguli za dawa za kulevya” Picha na John Benjamin Na john Benjamin-Katavi Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na vyombo…
23 May 2024, 10:57 am
RC Mrindoko :Hospitali zinazodaiwa na MSD zilipe madeni
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko.Picha na Anna Milanzi “kulipa madeni katika hospitali ambazo zinadaiwa kutaongeza ufanisi katika utendaji kazi“ Na Rachel Ezekia-Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amezitaka hospitali zinazodaiwa na bohari ya dawa kanda…
21 May 2024, 3:18 pm
Zimamoto Mpanda waaswa kuchukua tahadhari kabla ya kuzima moto
“Jeshi la zimamoto lililoundwa kwa sheria namba 14 ya mwaka 2007 jukumu lake kubwa ni kuzima moto na kuokoa maisha na mali katika majanga yatokanayo na moto ,mafuriko ,teteeko la ardhi ,ajali za barabarani pamoja na majanga mengine” Picha na…
20 May 2024, 3:46 pm
Katavi kunufaika na mashine mpya kunusuru kukatika umeme
Na mwandishi wetu Dodoma Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema mradi wa ujenzi wa njia ya umeme kutoka Tabora hadi Katavi wenye thamani ya shilingi bilioni 116 umefikia asilimia 58, ambapo utakapokamilika utauunganisha mkoa wa Katavi kwenye gridi ya…
17 May 2024, 2:06 pm
Wananchi Katavi wahofia aliyesimamia mgogoro wao na jeshi kuwageuka
Huenda ametugeuka kwa kuwa eneo lake limeachwa wazi hivyo tunadhani kuwa zipo sababu za yeye kuegemea upande mmoja na kusababisha maeneo hayo kuchukuliwa na jeshi” Alisema mmoja wa wananchi aliehudhuria kliniki hiyo. Picha na Lilian Vicent Na Lilian Vicent -Katavi Mkuu…
16 May 2024, 4:46 pm
Simba Yasemekana Kuonekana Maeneo ya Mpanda Hotel na Msasani
“Tumepokea barua kutoka kambi ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ ikimuarifu kuwajulisha wananchi wa mtaa wake kuwepo kwa mnyama Simba ili wawe makini pindi wanapokuwa katika shughuli zao hususani zile za usiku Amesema mwenyekiti wa mtaa wa Mpanda hotel. Picha…