Mpanda FM
Mpanda FM
7 July 2025, 7:42 pm
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Bei zimepanda niwaombe tukumbuke kuweka akiba ya chakula” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewahimiza wananchi kutunza chakula hususani katika kipindi hiki cha mavuno ambapo…
7 July 2025, 7:34 pm
Wajasiriamali wakiwa kwenye mafunzo. Picha na Anna Mhina “Lengo ni kuhakikisha wanakatavi wanapata mafunzo ya uchumi na ujasiriamali” Na Anna Mhina Zaidi ya wajasiriamali 80 mkoani Katavi wamepatiwa mafunzo ya namana ya ufugaji bora wa kuku, utengenezaji wa sabuni pamoja…
5 July 2025, 4:35 pm
Picha ya wananchi walionufaika wa mkopo wa asilimia 10. Picha na Samwel Mbugi “Tunamshukuru Rais Samia kwa kuweza kutuona sisi vijana” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi ambao ni wanufaika wa mkopo wa asilimia…
5 July 2025, 4:25 pm
Vijana wa De Jong katikati ni afisa uhifadhi mwandamizi Shigela Jilala. Picha na Anna Mhina “Tumetoka Zanzibar tumekuja Katavi kwa lengo la kuazimisha Samia day” Na Anna Mhina Katika kuadhimisha Samia day mkoani Katavi vijana 69 wa De Jong kutoka…
2 July 2025, 7:27 pm
Albert Msovela katibu tawala Katavi. Picha na Samwel Mbugi “Lengo la tamasha la Samia day ni kumpongeza Rais Samia kwa kuleta fedha nyingi Katavi” Na Samwel Mbugi Wananchi mkoani Katavi wamehimizwa kushiriki tamasha la Samia Day ambalo limeandaliwa kwa ajili…
1 July 2025, 12:38 pm
Picha ya wananchi wa kijiji cha Isinde. Picha na Anna Mhina “Nakosa ujasiri wa kugombea kwa sababu tunatawaliwa na mfumo dume kwenye familia” Na Roda Elias Kuendelea kuwepo kwa mfumo dume miongoni mwa baadhi ya jamii kumetajwa kumuathiri mwanamke katika…
1 July 2025, 11:57 am
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Isinde. Picha na Anna Mhina “Mfumo dume unaanzia nyumbani hivyo tunakosa kujiamini” Na Anna Mhina na Roda Elias Kuendelea kuwepo kwa mfumo dume miongoni mwa baadhi ya jamii kumetajwa kumuathiri mwanamke katika kuwania nafasi…
1 July 2025, 11:24 am
Idd Kimanta Mwenyekiti wa CCM na kulia ni Joseph Mona mwenyekiti wa ACT. Picha na Ben Gadau “Kumekuwa na mwitikio mdogo kwa upande wa wanawake” Na Ben Gadau Wanawake wametakiwa kujitokeza katika mchakato wa kuchukua fomu inayoendelea katika vyama mbalimbali…
30 June 2025, 5:42 pm
Choo kinachowakera ya wananchi. Picha na Anna Mhina “Hapa sisi tunapata shida na harufu ya kinyesi” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia kero wanayoipata ya harufu mbaya ya choo…
28 June 2025, 5:32 pm
Picha ya pamoja ya viongozi wa serikali na wanufaika wa TASAF. Picha na Samwel Mbugi “Tupende kuwashukuru viongozi na mama Samia” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wanufaika wa mfuko wa kaya masikini TASAF wametoa shukurani kwa rais wa jamhuri ya…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
