Mpanda FM
Mpanda FM
8 September 2025, 7:53 pm

Baadhi ya wachangia mada wa kata ya Mpanda Hotel. Picha na Anna Mhina
“Tutamtia moyo na kumheshimu kwani amethubutu”
Na Anna Mhina na Roda Elias
Baadhi ya wananchi wa kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza wajibu wao juu ya mwanamke aliyekosa nafasi ya uongozi.
Wakizungumza na Mpanda Radio FM wananchi hao wamesema kuwa wanachukua wajibu kuwatia moyo na kuendelea kumwamini mwananamke huyo aliyekosa nafasi ya uongozi. Sikiliza makala hii zaidi.