Recent posts
10 October 2024, 23:10 pm
Wazee kuhamasisha amani uchaguzi serikali za mitaa mkoani Mtwara
Dhamira ni kuwataka wazee kukaa na vijana na kuzungumzia suala la amani na usalama wa mkoa katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ,uchaguzi ambao umekuwa ukishuhudia heka heka za hapa na pale za vyama vya siasa. Na Musa Mtepa…
10 October 2024, 15:55 pm
RC Mtwara: Wananchi jitokeze kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga ku…
Maeneo ya utawala kwa nchi nzima yalitangazwa na Waziri husika kutoka ofisi yar ais TAMISEMI September 16,2024 na baada ya kutangaza maeneo hayo wasimamizi wa uchaguzi kwa ngazi za halmashauri zote nchini zikiwemo na halmashauri (9) za mkoa wa Mtwara…
8 October 2024, 14:34 pm
Magengeni Mtwara watakiwa kujitokeza uchaguzi serikali za mitaa
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 viongozi wa mitaa,vijiji na wajumbe wanatakiwa kujiuzuru ifikapo October 25,2024 . Na Musa Mtepa Mwenyekiti wa Mtaa wa Magengeni, Manispaa ya Mtwara Mikindani, Amina Ahmadi…
8 October 2024, 13:05 pm
Waziri Dkt. Stergomena Tax Azindua Shule ya Msingi Chawi Mkoani Mtwara
Mradi huo unaojumuisha Vyumba 9 vya Madarasa, Jengo la Utawala pamoja Matundu 6 ya Vyoo, umetekelezwa kwa fedha zilizotoka Serikali kuu. Na Musa Mtepa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, amefanya ukaguzi na kufungua mradi…
8 October 2024, 11:57 am
Maafisa uandikishaji Mtwara DC waaswa kufuata taratibu za uchaguzi
Ni zaidi ya maafisa 400 wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura wameapa na kupata seimina ya jinsi ya kuanya uandikishaji katika uchaguzi wa serikali za mitaa katika halmashauri ya Mtwara vijijini Na Musa Mtepa Mratibu wa Usimamizi wa Uchaguzi…
5 October 2024, 08:34 am
Waziri wa Ulinzi kukagua miradi ya maendeleo Mtwara DC
Waziri wa ulinzi ataanza ziara Oktoba 6, 2024 katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara ambapo ataanza na ukaguzi wa vyumbo vya madarasa vilivyopo katika shule ya sekondari Mustafa Sabodo na kumalizia uwekaji wa jiwe la msingi nyumba ya Watumishi wa…
3 October 2024, 12:48 pm
TANECU kuwakomboa wakulima wa korosho Mtwara
Kiwanda hiki kinakadiriwa kuwa na thamani ya shilingi bilioni 3.4 huku kikitarajiwa kubangua tani 3,500 za korosho kwa mwaka. Na Musa Mtepa Wakulima wa korosho katika wilaya za Tandahimba na Newala mkoani Mtwara wameonesha furaha yao kuhusu ujenzi wa kiwanda…
2 October 2024, 23:45 pm
Bashe azindua kiwanda cha kubangua korosho Mtwara
Takribani Bilioni 3.4 inaelezwa kuwa zimetumika kujenga kiwanda hicho huku ikikadiriwa kuwa na uwezo wa kubangua korosho tani 3,500 kwa mwaka Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe, amezindua rasmi kiwanda cha kubangua korosho cha Chama Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba,…
2 October 2024, 20:59 pm
Waziri wa Kilimo azindua ujenzi wa maabara ya TARI Naliendele
Maabara hayo yatasaidia katika kufanya tafiti mbalimbali katika kituo cha TARI Naliendele ikiwa katika magonjwa na mbegu bora inayoweza kuhimili katika mazingira yote. Na Mwanahamisi Chikambu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, amezindua rasmi ujenzi wa maabara ya Taasisi ya…
1 October 2024, 00:23 am
Kisima cha maji chadhaniwa kuwa na gesi asilia Mtwara Vijijini
Hii ni hali inayowashangaza wananchi wengi wa kijiji cha Mnyundo huku fikra zao zikiwa katika uwepo gesi asilia sehemu ambayo maji yanatokea . Na Musa Mtepa Wananchi wa kijiji cha Mnyundo, kata ya Ndumbwe, halmashauri ya Mtwara, mkoani Mtwara, wamesema…