Recent posts
14 May 2024, 08:24 am
Wadau waombwa kusaidia ujenzi wa ghala la kijiji Mtwara
Tumeamua kujenga ghala hili kwasababu Kijiji chetu hatuna ghara na mazao yetu sasa hivi tumekua tukiazima jengo la maarifa ya kilimo la kata ambalo tumekuwa tukilitumia kupimia kwa kila pale inapofikia msimu wa korosho na ufuta tukaona bora tujichange ili…
14 May 2024, 08:06 am
Wavuvi waliopotea baharini Mtwara bado hawajaonekana
Boti hiyo ambayo ilikwenda baharini jioni ya tarehe 9/5/2024 kwa matarajio ya kurudi asubuhi ya tarehe 10/5/2024 lakini hawakufanikiwa kurudi baada ya kupata hitilafu na walinipigia simu kuanzia saa kumi na moja hadi saa sita mchana wakaniambia mwenyekiti simu zetu…
11 May 2024, 14:30 pm
Makala: Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri upatikanaji wa samaki mkoani M…
Na Musa Mtepa Makala hii inachunguza athari za mabadiliko ya tabianchi kwenye mazingira na maisha ya samaki katika Mkoa wa Mtwara. Inatilia maanani jinsi mabadiliko haya yanavyoweza kusababisha mabadiliko ya nchi kimaumbile, kibiolojia, na kijamii. Mabadiliko kama vile ongezeko la…
11 May 2024, 14:10 pm
Wakulima washauriwa kuzingatia ubora wa ufuta ukiwa shambani
Na Musa Mtepa Wakulima wa ufuta wameaswa kuzingatia mambo ya msingi kabla na baada ya kuvuna ili waweze kupata soko zuri la zao hilo. Wito huo umetolewa tarehe 10/5/2024 na mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa kilimo ( TARI) Naliendele…
10 May 2024, 17:48 pm
Makala ya Elimu juu ya chanjo ya Surua na Rubela
Kampeni za chanjo zimekuwa zikifanyika mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata chanjo hizi kwa wakati. Ni muhimu kwa wazazi kuhakikisha watoto wao wanapata chanjo hizi mapema ili kuzuia maambukizi na madhara yanayoweza kuepukika Na Gregory Millanzi Ugonjwa wa…
9 May 2024, 17:45 pm
Makala ya udumavu kwa watoto chini ya miaka 8
Makala haya yanalenga kutoa elimu ya udumavu na wazazi kutakiwa kuzingatia mlo kamili ili watoto waweze kukua wakiwa na afya iliyo njema Na Gregory Milanzi, Mwanahamisi Chikambu Ni kipindi kinaelezea hali ya udumavu katika wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwarax, tathimini…
29 April 2024, 20:23 pm
Tanzania, CRCEG watia saini mkataba ujenzi miundombinu uwanja wa ndege Mtwara
Bilioni 73.51 ni gharama za mradi wa usanifu na ujenzi wa jengo la abiria, vituo vya zimamoto na hali ya hewa pamoja na mnara wa kuongezea ndege ambazo zinaungana na bilioni 57 zilizotumika katika ujenzi wa eneo la kukimbilia ndege.…
27 April 2024, 15:51 pm
TAKUKURU yaokoa Milioni 77.1 sekta ya Elimu Mtwara
Kwa upande wa uimarishaji umma ,tumeimarisha klabu za wapinga rushwa 70 zilizopo katika shule za Msingi, Sekondari na Vyuo ,Mikutano ya hadhara 68,Semina 37, maonesho 11 na utoaji wa Habari 3. Na Musa Mtepa Taasisi ya kuzuia na kupambana na…
26 April 2024, 20:50 pm
DC Munkunda awataka wananchi kudumisha muungano
Faida za muungano wa Tanganyika na Zanziba ni nyingi kwa pande zote mbili zikiwemo za kibiashara,Uchumi na kijamii. Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amewaomba wananchi kuwa wamoja katika kuuenzi na kudumisha muungano wa Tanganyika na…
26 April 2024, 20:35 pm
Wagonjwa 4500 kunufaika na kliniki ya macho Mtwara
Chanzo kikubwa ni umri wengi waliokutwa na tatizo la macho ni wale wenye umri kati ya miaka 60/ 70 na wengine walikuwa na hatari kidogo na hawakutibiwa mapema hivyo macho yao yamaeingia ukungu na hawakuweza kutolewa na leo wametolewa na…