Recent posts
14 June 2024, 21:11 pm
RC Sawala ashuhudia utiaji saini kongani la viwanda Maranje Mtwara
Kusainiwa kwa makataba huu kati ya Bodi ya KoroshoTanzania (CBT) na mkandarasi na kampuni ya Malagarasi Enterprises and Contractors Limited ni mwanzo wa CBT kumiliki viwanda vya pqmoja vya kubangua korosho na kusindika bidhaa zake ambapo uendeshaji wa viwanda hivi…
13 June 2024, 19:00 pm
Madiwani halmashauri ya Kilindi wajifunza uzalishaji wa Korosho TARI Naliendele
Baada ya kikao kilichoagiza kila halmashauri kuwa na vyanzo vipya vya mapato halmashauri ya Kilindi ilifikiria kuwa zao la korosho linaweza kuwa chanzo sahihi cha kuongeza mapato kwa siku za usoni hasa hamasa ikitolewa kwa wananchi na ukizingatia kuna misitu…
8 June 2024, 18:47 pm
Mwenge wa uhuru wakabidhiwa mkoani Ruvuma
Niwapongeze viongozi wote ,wa serikali na wa chama kwa kusimamia vizuri miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika mkoa wa Mtwara ,ni mpongeze mkuu wa wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda kwa kazi nzuri aliyoionesha wakati wa mbio za Mwenge kwani amekimbiza katika…
6 June 2024, 15:18 pm
Makala: Serikali na uboreshaji wa huduma ya afya ya mama mjamzito na watoto
Na Gregory Millanzi na Mwanahamisi Chikambu Baadhi ya Wananchi wa Mkoa wa Mtwara waliwahi kulalamika kwenye makala zilizopita, kuhusu hali ya utolewaji wa huduma bora ya afya ya mama mjamzito na mtoto kwenye vituo vya afya na Hospitali, kuwa kuna…
5 June 2024, 17:17 pm
Wakulima wa mwani, wavuvi Mtwara waingia mgogoro
Kwa kawaida zao la mwani ni kivutio cha samaki kutoka maji mengi na kufika kwenye maji madogo kwa ajili ya kupata chakula, makazi na wakati mwingine kuzaliana. . Na Musa Mtepa Katika hali isiyotarajiwa wakulima wa mwani kutoka vijiji vya…
5 June 2024, 16:47 pm
NEMC Kanda ya Kusini yashiriki zoezi la upandaji wa mikoko Namela
Kati ya miti ambayo inafyonza hewa chafu kwa uwingi na kwa haraka ni mikoko hivyo kitendo cha kupanda katika eneo la kigongo ni katika kuendeleza harakati za kupunguza hewa chafu na ni fursa kwa maeneo mengine ya pwani ya kusini…
3 June 2024, 18:45 pm
Wadau wa mazingira Mtwara waiomba serikali kupunguza bei ya mitungi ya gesi ya k…
Serikali na makampuni yanayotengeneza na kuuza mitungi ya gesi iangalie namna nyingine ya kutengeneza mitungi midogo yenye gharama nafuu ili mwananchi wa hali wa chini aweze kuinunua na kutumia ikiwa kama njia ya kupunguza matumizi ya nishati chafu ya kupikia…
3 June 2024, 12:33 pm
NEMC kanda ya kusini yawataka vijana kuchangamkia fursa za kimazingira
Kongamano hili ambalo limehusisha wadau mbalimbali wanataaluma,wanafunzi ,taasisi za serikali na binafsi huku matarajio ya ujumbe kufika ukiwa mkubwa kwa wadau kwani kumekuwa uwasilishaji wa mada mbalimbali hasa kwa upande wa zao la korosho na jinsi ya kukabiliana na mabadiliko…
31 May 2024, 12:49 pm
NSSF yadai zaidi ya bilioni 3.2 kwa waajiri mkoani Mtwara
Ndani ya mkoa wa Mtwara kuna deni lisilopungua takribani Bilioni 3.3 ambalo waajiri 29 bado hawajawasilisha michango yao kama inavyostahili na wakati mwingine hawataki hata kukaguliwa pale inapobidi kujua idadi ya wafanyakazi wao. Na Musa Mtepa Wajiri wametakiwa kutekeleza majukumu…
30 May 2024, 13:32 pm
Mwenge wa uhuru kupitia miradi 62 yenye thamani ya Bilioni 30.09 Mtwara
Na Musa Mtepa Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala leo tarehe 30/5/2024 amepokea Mwenge wa Uhuru ukitokea mkoani Lindi katika Viwanja vya shule ya Msingi Mpapura halmashauri ya Mtwara Vijijini. Akiongea wakati wa mapokezi ya Mwenge huo mkuu…