Recent posts
25 May 2022, 4:23 pm
TAKUKURU: WANANCHI TUSHIRIKIANE KUTOMEZA RUSHWA
Jamii mkoani katavi imeaswa kushirikiana na tasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuku katika kutokomeza vitendo vyote vya rushwa mkoani hapa. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Takukuru Mkoani katavi Festo Mdede wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi wa…
25 May 2022, 4:17 pm
IGP SIRRO: POLICE FANYENI KAZI KWA UADILIFU
Mafisa wa polisi mkoani katavi wametakiwa kufanya kazi kwa ubora huku wakizingatia nidham usiri na uadili katika kutoa huduma kwa wananchi. hayo yameelezwa na kamanda wa jeshi la polisi nnchi IGP Simon Siro katika uzinduzi wa zahanati ya polisi mkoani…
23 May 2022, 2:34 pm
MIL. 470 KUWANUFAISHA SHULE MAALUM MSAKILA
Jumla ya shilingi million 470 zimetolewa katika wilaya ya Tanganyika kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya msingi katika shule maalumu ya msakila. Akizungumza na Mpanda radio fm kaimu mkurugenzi wa wilaya ya Tanganyika Betuel Luhega wakati wa ziara ya…
23 May 2022, 2:20 pm
MAZIWA NA UTOKOMEZAJI WA UDUMAVU KATAVI
Wazazi na walezi mkoani katavi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya maziwa yatakayofanyika kuanzia tarehe 27 had tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu ili kujifunza umuhim wa maziwa katika mwili wa mwanaadam na hatimae kuondokana na…
23 May 2022, 2:12 pm
MAADHIMISHO YA SIKU YA NYUKI KATAVI
KATAVI Kufatia maadhimisho ya siku ya nyuki duniani mkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka watanzania kutunza mazingira kwa kuhifadhi misitu ili kuongeza thamani ya mazao ya mdudu nyuki. Akizungumza katika sherehe za maadhimisho ya siku ya nyuki duniani…
23 May 2022, 1:56 pm
MIGOGORO WAKULIMA NA WAFUGAJI HALI TETE
KATAVI. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Karema mkoani katavi wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mgogoro kati ya wakulima na wafugaji kabla haujaleta madhara makubwa katika jamii. Wakulima hao wameiambia mpanda radio fm kuwa ugomvi kati ya wafugaji…
23 May 2022, 1:42 pm
UMASKINI, CHANZO MIMBA ZA UTOTONI
KATAVI Umaskini wa kipato umetajwa Kuwa chanzo moja wapo cha kinachopelekea mimba za utotoni kwa baadhi ya familia mkoani katavi. Wakizungumza na mpanda redio fm baadhi ya wazazi hao wameeleza namna umaskini wa familia unavyosababisha mabinti wengi kupata mimba kabla…
23 May 2022, 1:32 pm
MGANGA WA KIENYEJI MBARONI KWA ULAWITI
Jeshi la polisi mkoani katavi limefanikiwa kumkamata mganga wa kienyeji akili abakuki almaarufu kama jimmy mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa majengo kwa tuhuma za kulawiti watoto wenye umri kati ya miaka 6 hadi 12 alipokuwa akiwapatia matibabu…
23 May 2022, 1:03 pm
DC TANGANYIKA UMEME KAREMA KABLA YA MAY 20
KATAVI. Mkuu wa wilaya ya tanganyika onesmo buswelu amelitaka shirika la umeme mkoa wa katavi kuunganisha umeme katika bandari ya karema kabla ya may 20 mwaka huu kwakuwa mradi huo upo katika hatua za mwisho kukamilika. Buswelu ametoa angizo hilo…