Recent posts
21 October 2022, 11:15 am
Wazazi Waaswa Kuwajibika kwa Malezi ya Watoto, Kuepusha Mimba za Utotoni
KATAVI Wazazi mkoani Katavi wametakiwa kuhakikisha wanawajibika katika malezi ya Watoto wao ili kuepusha kutokea kwa mimba za utotoni. Wakizungumza na Mpanda radio fm baadhi ya wakazi mkoani hapa wamesema mimba za utotoni mara nyingi zinatokea pindi kukiwa hakuna misingi…
21 October 2022, 11:10 am
Wananchi Waaswa Juu ya Tahadhari ya Magonjwa ya Mlipuko
MPANDA Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya magonjwa ya milipuko ikiwamo kuhara kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni sambamba na kutibu maji ya kunywa. Afisa afya Manispaa ya Mpanda Erick Kisaka ameitaka jamii…
20 October 2022, 11:54 am
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Yarejesha Fedha za Wananchi Zilizochangwa kwa…
MPANDA Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mpanda imefanikiwa kuzirejesha fedha kiasi cha Shilingi Milion moja laki mbili na arobaini na tano zilizochangwa na wananchi wa mtaa wa mtemi beda kata ya misunkumilo ili wapimiwe viwanja. Akizungumza na Mpanda redio…
20 October 2022, 11:43 am
MRINDOKO: ‘Zoezi la Kuhamia Hospital Mpya Lisiathiri Utoaji Huduma’
MPANDA Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amemtaka mganga mfawidhi kuhakikisha zoezi la kuhamia hospital mpya ya mkoa kutoathiri utoaji huduma katika hospitali teule ya rufaa. Mrindoko amesema wahakikishe wanatengeneza miundombinu ambayo yatapelekea wagonjwa kuendelea kutibiwa hospital teule ya…
20 October 2022, 11:40 am
Maoni ya Machinga juu ya Fedha za Ujenzi wa Ofisi kila Mkoa
MPANDA Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga Mkoani Katavi wamekuwa na maoni tofauti tofauti baada ya Serikali kutenga kiasi cha shilingi milion 10 za ujenzi wa ofisi za machinga kila Mkoa. Wakizungumza na Mpanda radio fm wafanyabiashara hao wamesema ujenzi…
20 October 2022, 5:24 am
Tanesco Wapewa Wiki Tatu Kufikisha Umeme Hospital Mpya ya Mkoa
MPANDA Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka Shirika la umeme mkoa wa Katavi ndani ya wiki tatu kuhakikisha umeme unafika katika hospitali mpya ya mkoa wa Katavi Akitoa maagizo wakati akijibu taarifa ya mganga mfawidhi wa hospitali teule…
20 October 2022, 5:11 am
Wafanyabiashara Kilimahewa Waomba Kuboreshewa Miundombinu
MPANDA Wafanyabiashara wa soko la kilimahewa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameuomba uongozi wa halamshauri hiyo kuboresha miundombinu katika soko jipya la kawalioa. Wakizungumza na Mpanda fm wafanyabiashara hao wamesema kuwa licha ya kuwepo kwa taarifa ya kuhamia katika soko…
14 October 2022, 5:51 am
Wajasiriamali Walalamikia Wateja Wasiowaaminifu
MPANDA Wajasiriamali Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia Tabia isiyofaa inayofanywa na baadhi ya wateja ya kuchukua bidhaa kwa mkopo na kuchelewa kuwalipa jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo yao kiuchumi. Wakitoa malalamiko hayo wakati wakizungumza na kituo hiki wajasiliamali…
14 October 2022, 5:25 am
Wazazi Wapongeza Matibabu ya Mguu Fundo
Wazazi ambao wana watoto wenye ugonjwa wa Mguu kifundo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepongeza uwepo wa matibabu ya mguu kifundo katika hospitali ya rufaa Mkoani hapa. Wakizungumza na Mpanda radio fm wazazi wamesema wengi waligundua ugonjwa walipozaliwa na kufanya…
11 October 2022, 11:43 am
Vijana Waaswa Kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere
KATAVI. Vijana Mkoani katavi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kumuenzi baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambalage Nyerere kwa kuwa wazarendo na kudumisha amani ya taifa kuelekea kumbukizi ya miaka 23 ya kifo chake. Kauli hiyo imetolewa na Rafael Peleleza kijana…