Recent posts
18 April 2023, 9:26 pm
Wazazi na Walezi Wametakiwa Kuwapa Watoto wao Elimu
MPANDA Wazazi na Walezi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuwapa kipaumbele watoto katika kupata elimu ili waweze kutimiza ndoto zao. Akizungumza katika hafla ya kutunukiwa udaktari kutoka chuo cha all nation christian church Askofu Laban Ndimubenya amewataka wazazi na…
18 April 2023, 9:20 pm
Mlele Yapongezwa kwa Utekelezaji wa Miradi ya Serikali
MLELE Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mlele Wolfgang Mizengo Pinda amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kwa utekelezaji wa Miradi ya maendeleo iliyotekelezwa kutokana na fedha za Serikali Kuu na usimamizi mzuri wa miradi hiyo. Pinda ametoa pongezi katika ziara…
18 April 2023, 8:45 pm
Idadi ya Watu Kwenda Kupata Chanjo Yaongezeka
MPANDA Idadi ya watu wanaojitokeza kwenye vituo vinanyotolea huduma za Chanjo imeongezeka kutokana na hamasa inayotolewa na Serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali kufanya watu waone umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 na chanjo za aina nyingine . Mratibu msaidizi…
16 April 2023, 3:17 pm
Mabaki ya Mazao na Utunzaji wa Mazingira
KATAVI Ili kuinua uchumi na kusaidia kulinda mazingira Wananchi mkoani Katavi wameaswa kutumia majiko Banifu katika shughuli zao. Mtaalamu wa Masuala ya Mazingira Manispaa ya Mpanda Bwana Prosper Mwesiga amesema kuwa matumizi ya Majiko banifu yanasaidia kwa kiwango kikubwa upunguzaji…
16 April 2023, 3:11 pm
Madereva wa Vyombo vya Moto Watakiwa Kuhakiki Leseni Zao
KATAVI Madereva wa vyombo vya moto mkoa wa Katavi wametakiwa kutumia muda ulioongezwa kuhakiki leseni zao ili kuepusha usumbufu unaowezajitokeza kwa kutohakiki leseni zao. Kauli hiyo imetolewa na askari kutoka kitengo cha usalama barabarani mkoa wa Katavi Geofrey Brighton amesema…
14 April 2023, 10:20 am
Wananchi Katavi Watoa Maoni Mseto Ujio wa Grid ya Taifa
MPANDA Wananchi Mkoa wa Katavi wametoa maoni mseto juu ya ujio wa mradi wa umeme wa Grid ya Taifa kutoka Tabora kuja Mkoani Katavi. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio Fm na kuongeza kuwa ujio wa umeme wa Grid…
14 April 2023, 10:15 am
Mvua Yaezua Nyumba Mbili Mtaa waMtemi Beda
MPANDA. Nyumba mbili zimeezuliwa katika mtaa wa mtemi beda kata ya misunkumilo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo na kusababisha watu kukosa makazi . Wakizungumza na mpanda redio fm wahanga wa tukio hilo wamesema…
12 April 2023, 2:44 pm
Katavi Yafikia 70% Usambazaji wa Maji Safi na Salama Vijijini
MPANDA Mkoa wa Katavi umefikia zaidi ya asilimia 70 katika usambazaji wa maji safi na salama vijijini, huku lengo kuu ikiwa ni kutatua changamoto hiyo katika vijiji vilivyosalia. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko wakati…
12 April 2023, 2:31 pm
Diwani Kata ya Uwanja wa Ndege Agawa Baiskeli kwa Makatibu CCM Kata
MPANDA Diwani wa Kata ya Uwanja wa Ndege Mkoani Katavi Kamande Mbogo ametoa usafiri wa baiskeli kwa makatibu wa tawi wa Chama Cha Mapinduzi Kata ili kuwarahisishia shughuli za utendaji wanavotekeleza ilani ya chama. Akizungumza wakati wa mkutano uliowakutanisha wananchama…
10 April 2023, 5:25 pm
Wavuvi Kutaka Mali kwa Haraka Chanzo cha Uvuvi Haramu “CP Awadhi”
MPANDA Kamishna wa oparesheni na mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania, CP Awadhi Juma Haji amesema moja ya changamoto zinazokwamisha mapambano dhidi ya uvuvi haramu na uhalifu kwenye maziwa ni kutokana baadhi ya wavuvi kugeukana na kutaka mali za haraka…