Recent posts
14 April 2023, 10:15 am
Mvua Yaezua Nyumba Mbili Mtaa waMtemi Beda
MPANDA. Nyumba mbili zimeezuliwa katika mtaa wa mtemi beda kata ya misunkumilo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo na kusababisha watu kukosa makazi . Wakizungumza na mpanda redio fm wahanga wa tukio hilo wamesema…
12 April 2023, 2:44 pm
Katavi Yafikia 70% Usambazaji wa Maji Safi na Salama Vijijini
MPANDA Mkoa wa Katavi umefikia zaidi ya asilimia 70 katika usambazaji wa maji safi na salama vijijini, huku lengo kuu ikiwa ni kutatua changamoto hiyo katika vijiji vilivyosalia. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko wakati…
12 April 2023, 2:31 pm
Diwani Kata ya Uwanja wa Ndege Agawa Baiskeli kwa Makatibu CCM Kata
MPANDA Diwani wa Kata ya Uwanja wa Ndege Mkoani Katavi Kamande Mbogo ametoa usafiri wa baiskeli kwa makatibu wa tawi wa Chama Cha Mapinduzi Kata ili kuwarahisishia shughuli za utendaji wanavotekeleza ilani ya chama. Akizungumza wakati wa mkutano uliowakutanisha wananchama…
10 April 2023, 5:25 pm
Wavuvi Kutaka Mali kwa Haraka Chanzo cha Uvuvi Haramu “CP Awadhi”
MPANDA Kamishna wa oparesheni na mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania, CP Awadhi Juma Haji amesema moja ya changamoto zinazokwamisha mapambano dhidi ya uvuvi haramu na uhalifu kwenye maziwa ni kutokana baadhi ya wavuvi kugeukana na kutaka mali za haraka…
10 April 2023, 4:54 pm
Wananchi Kayenze Walia na TARURA
KATAVI Wananchi wa Kayenze Kata ya Katuma Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wamewaomba Wakala wa barabara Vijijini TARURA kurekebisha Barabara ya Sibwesa Katuma inayopita katika eneo lao. Wameiambia Mpanda Radio kuwa wanapata adha ya usafiri na kushindwa kufanya baadhi ya…
8 April 2023, 9:43 am
Mrindoko Apiga Marufuku Watoto Kupelekwa Kumbi za Sherehe Pasaka
KATAVI Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amepiga marufuku Watoto kupelekwa kwenye kumbi za sherehe katika sikukuu ya pasaka. Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake amewataka wananchi kusheherekea sikukuu ya Pasaka kwa upendo na amani na kuhakikisha…
8 April 2023, 9:37 am
Wananchi Waombwa Kuendelea Kuchangia ili Kukamilisha Ujenzi wa Shule ya Msingi M…
KATAVI Wananchi ambao bado hawajachangia katika ujenzi wa Shule mpya ya Msasani kata ya Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameombwa kuchangia ili kuikamilisha shule hiyo. Wakizungumza na Mpanda Radio Baadhi ya Wananchi waliochangia Ujenzi wa Shule hiyo wamewaomba…
7 April 2023, 7:10 am
Watu 5 Katavi Wakamatwa na Kilo 4 na Kete 209 za Bangi
MPANDA Jeshi la polisi mkoa wa katavi limefanikiwa kuwakamata watu watano wakiwa na kilo nne na kete mia mbili na tisa za madawa ya kulevya aina ya bangi. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa…
7 April 2023, 7:04 am
Wananchi Konamnyagala Wapongeza Jitihada za Kamati ya Shule
KATAVI Wananchi wa Kona ya Mnyagala Kijiji cha Ikaka kata ya Mnyagala Halmashauri ya Tanganyika mkoani katavi wamepongeza Jitihada za Kamati ya Shule katika usimamiaji wa upatikanaji wa Chakula shuleni hapo. Wakizungumza na kituo hiki wamesema kuwa wameitikia Wito wa…
6 April 2023, 9:57 am
Mkazi wa Ibindi Ajinyonga Nyumbani Kwake
KATAVI Mtu mmoja anayefamika kwa jina la Aden Mwakipesile mwenye umri wa miaka 49 mkazi wa kijiji cha Ibindi wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi amekutwa amefariki kwa kujinyonga nyumbani kwake usiku wa kuamkia April 4. Mke wa marehemu Letisia Deus…