Recent posts
15 October 2024, 6:23 pm
Wananchi mtaa wa Mpadeco Katavi walalamikia kutozolewa takataka kwa wakati
“Taka hizo zimekuwa kero kutokana na kukaa bila kuzolewa licha ya kutoa fedha za kutoa takataka hizo katika makazi yao.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mpadeco kata ya Makanyagio Manispaa ya Mpanda wamezitaka mamlaka kutatua changamoto …
15 October 2024, 5:54 pm
Abiria wanaosafiri na treni Katavi waitaka serikali kuboresha huduma
Stesheni ya Mpanda mkoani Katavi .picha na Rachel ezekia “Treni mkoani katavi inasafiri mara tatu kwa wiki ikiwa ni pamoja na ukataji wa tiketi katika siku hizo ambazo abiria wanasafiri“ Na Rachel Ezekia -Katavi Baadhi ya abiria wanaosafiri na treni…
10 October 2024, 5:32 pm
Wakulima Katavi wahitaji kupimiwa udongo katika mashamba yao
“Baadhi yao wamekuwa wakilima kwa mazoea kwani hawatambui kuwa udongo unahitaji nini wakati wa kilimo” Na Roda Elias -Katavi Baadhi ya wakulima wa kijiji Kamsanga kata ya Mnyagala wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameomba kupimwa kwa udongo wao mashambani kabla ya…
10 October 2024, 5:17 pm
Baadhi ya wazazi, walezi Katavi walalamikia walimu kutoza fedha wanafunzi
picha na mtandao “Wanatozwa pesa kiasi cha shilingi 200 kwa kila mwananafunzi kila siku” Na Leah Kamala -Katavi Baadhi ya wazazi na walezi wanaosomesha watoto wao katika shule ya msingi Muungano ,manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia suala la mchango…
10 October 2024, 4:58 pm
Wazee Katavi waomba kuimarishiwa huduma za afya
baadhi ya wazee manispaa ya Mpanda “Kuwepo na msisitizo juu ya matibabu ya bure kwa wazee wasiojiweza kumudu gharama za matibabu.“ Na Lazaro Maduhu-Katavi Baadhi ya wazee wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuhimarishiwa huduma ya matibabu katika…
10 October 2024, 4:18 pm
Katavi watakiwa kutoa ushirikiano kutokomeza vitendo vya ukatili kwa watoto
Wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi ametoa maoni mseto kuhusiana na sababu zinazopelekea wazazi na walezi kuwafanyia ukatili watoto wao. Wakizungumza na Mpanda Radio FM wananchi hao wamesema kuwa ukosefu wa elimu na malezi duni imekuwa ni sababu kubwa…
6 October 2024, 12:30 pm
Wananchi Katavi waomba watoto waishio mazingira hatarishi wasaidiwe
picha na mtandao “serikali itoe Elimu kwa wazazi kuhusiana na malezi bora kwa mtoto na kuwapa mikopo wazazi ili kuwasaidia kukidhi mahitaji madogo madogo kama vile kumpeleka mtoto shule,malazi na chakula ili Watoto waepukane na makundi hayo hatarishi.“ Na Edda…
6 October 2024, 12:13 pm
Vikwazo vinavyokwamisha wanawake kuwania uongozi vyabainika Katavi
“ Vikwazo mbalimbali ikiwemo rushwa ya ngono na imani potofu vimekuwa ni mwiba kwao katika kugombea nafasi za uongozi.“ Na Ben Gadau -Katavi Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya Nsimbo mkoani Katavi wameelezea vikwazo vinavyopelekea wanawake kutowania nafasi…
6 October 2024, 11:58 am
Katavi waomba maboresho masoko Mpanda hoteli, Matunda
Sehemu ya eneo la soko la mpanda hotel “miundo mbinu hiyo mibovu ya sokoni kama vile ukosefu wa vizimba vya kufanyia biashara na ubovu wa mitaro ya kupitishia maji upelekea kujaa kwa maji sehemu wanazofanyiabiashara hasa wakati wa masika.“ Na…
29 September 2024, 8:36 am
Wazazi, walezi Katavi watakiwa kuwafundisha maadili mema watoto
“Walimu pamoja na wazazi wanatakiwa kuweka ulinzi mkubwa kwa Watoto ili kujenga taifa moja litakalokuwa na kizazi chenye maadili mema.” Na John Mwasomola -Katavi Wazazi na walezi mkoani Katavi wametakiwa kuwalinda watoto na kuwafundisha maadili yanayofaa ili kuwaepusha na vishawishi…