Mpanda FM
Mpanda FM
16 December 2024, 10:41 am
“Wameandaa miti 7500 kwa kupanda katika tasisi mbalimbali za umma na wananchi binafsi ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani” Na Samwel Mbugi -Katavi Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph ambae…
4 December 2024, 8:19 pm
“halmashauri zimekuwa zikidaiwa madeni hayo kwa muda mrefu bila mafanikio“ Na Samwel Mbugi-Katavi Wafanyabiashara mkoa wa Katavi wailalamikia serikali kutolipa madeni kwa wakati wanayodaiwa na baadhi ya wafanyabiashara ambao wanazidai halmashauri Hayo yamesemwa na Aman Mahellah mwenyekiti wa jumuiya ya…
4 December 2024, 8:16 pm
Wafanyabiashara mkoa wa katavi waomba elimu ya vitambulisho vya wamachinga iendelee kutolewa ili waweze kujua sifa na faida za kitambulisho hicho. Hayo yamesemwa katika kikao cha pili cha baraza la wafanyabiashara mkoa wa Katavi killichofanyika katika ukumbi wa ofisi za…
27 November 2024, 4:07 pm
“Lengo la mradi ilikuwa ni kuhamasisha vijana kuingia katika shughuli za uzalishaji wa mbogamboga na matunda.“ Na Rachel Ezekia-Katavi Zaidi ya vijana 500 mkoani Katavi wamenufaika na mradi wa Agri –Connect katika kilimo cha uzalishaji wa mazao yatakayosaidia kupunguza…
27 November 2024, 3:48 pm
“Mrindoko amewataka wananchi Kuendelea kujitokeza katika vituo mbalimbali walivojiandikisha ili kuweza kujitokeza ili kutimiza haki yao ya kupiga kura.” Na Betord Chove -Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko Ameshiriki kupiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi…
27 November 2024, 3:06 pm
“Wakulima wanapaswa kufuata elimu inayotolewa na wataalam kupitia vyeti vyao ili kuweza kuvuna mazao mengi zaidi“ Na John Benjamin -Katavi Wakulima katika kata ya Itenka halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kulima kisasa kwa kufuata maelekezo ya…
25 November 2024, 3:03 pm
“kila mwananchi aliyejiandikisha ana haki ya Kwenda kuchagua kiongozi anayemuona ataweza kumtumikia kwa miaka mitano.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewahimiza wananchi wa mkoa wa Katavi waliojiandikisha katika daftari la mkazi kujitokeza kupiga…
25 November 2024, 1:40 pm
“wajibu wao kuhakikisha hawatumiki kipindi hichi cha uchaguzi wa serikali za mitaa kuvunja amani .“ Na Lilian Vicent – Katavi Madereva bajaji Kituo cha soko kuu Manispaa ya Mpanda Mkaoni Katavi wamesema katika kipindi cha kampeni hawatakubali kutumika kuvunja amani.…
25 November 2024, 1:16 pm
“Wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ipasavyo muda sahihi wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura “ Na Betord Chove -Katavi Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia…
20 November 2024, 6:06 pm
Wazazi na walezi mkoani Katavi wametakiwa kulinda na kutetea haki za watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Mpanda radio fm ikiwa leo ni siku ya maadhimisho ya watoto duniani inayo fanyika kila mwaka tarehe 20…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
