Recent posts
20 December 2023, 4:15 pm
Wananchi Katavi waaswa juu ya matumizi holela ya dawa za kuzuia mbu
Wananchi Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria. Na Gladness Richard – Mpanda Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria katika msimu huu wa mvua.…
20 December 2023, 4:06 pm
Wananchi Katavi waaswa kukata bima ya afya
Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi wametakiwa kukata bima ya afya. Na Deus Daud – KATAVI Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi…
18 December 2023, 3:46 pm
Wazazi, walezi Katavi washauriwa kuchukua tahadhari kipindi cha mvua
Wazazi na walezi mkoani Katavi, washauriwa kuchukua tahadhari kipindi hiki cha mvua kwa kuwalinda Watoto. Na Gladness Richard – KATAVI Wazazi na walezi mkoani Katavi wameshauriwa kuendelea kuchukua tahadhari kipindi hiki cha mvua kwa kuwalinda watoto wasicheze pembezeno mwa mito.…
18 December 2023, 3:18 pm
Ewura yaahidi huduma bora za maji ,umeme, petroli na gesi asilia
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji Ewura imesema inahakikisha mtumiaji anapata huduma bora za maji ,umeme, petroli na gesi asilia. Na Lilian Vincent – KATAVI Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji Ewura imesema moja…
16 December 2023, 5:23 pm
Zaidi ya Heka 6 za mahindi zafyekwa na serikali
Kufuatia agizo la manispaa ya Mpanda ambalo linazuia kulima mazao marefu katikati ya makazi ya watu zoezi la kufyeka mazao Kwa ambao walikaidi agizo hilolimeendelea. Na Mwandishi wetu – Mpanda Kufuatia agizo la manispaa ya Mpanda ambalo linazuia kulima mazao…
16 December 2023, 12:15 am
Wananchi watoa maoni mseto kwa wavaa miwani bila kupima
Wananchi mkoani Katavi watoa maoni juu ya madhara ya kuvaa miwani bila kuzingatia ushauri wa madktari wa macho. Na Lilian Vincent – Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni juu ya madhara yanayoweza kumpata mtu anaevaa miwani bila…
15 December 2023, 3:59 pm
Kapufi afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo
Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastiani Kapufi afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo iliyopo katika jimbo lake. Na Deus Daud – Mpanda Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastiani Kapufi amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo iliyopo katika jimbo lake…
15 December 2023, 2:40 pm
Shule ya Msingi Msasani kunufaika na milioni 14 ya matundu ya vyoo
Serikali yachangia shilingi milioni 14 kwa ajili ya matundu ya vyoo shule ya Msingi Msasani. Na Gladness Richard – Mpanda Kufuatia ujenzi unaoendelea Wa shule ya Msingi Msasani Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi Serikali imechangia shilingi milioni 14 kwa ajili…
15 December 2023, 2:23 pm
Wananchi waaswa juu ya usafi wa mazingira
Wananchi Katavi washauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu. Na Leah Kamala – Mpanda Wananchi Maanispaa ya Mpanda mkoani Katavi Katavi wameshauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu katika msimu huu…
12 December 2023, 10:11 pm
Ruwasa Katavi kuongeza ukusanyaji mapato kupitia mfumo mpya wa malipo
Picha na Mtandao Mfumo huo utasaidia katika ukusanyaji mapato kwa kuwa wateja watalipia bili za huduma ya maji kwa njia ya simu na fedha hizo kuingia katika mfumo wa malipo ya serikali. Na Betord Benjamini- Katavi Wakala wa Maji na…