Recent posts
4 December 2023, 11:06 am
Kati ya watu 100 Katavi, mmoja kati yao ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi
Picha na Mtandao Asilimia 5.4% ya wananchi mkoani Katavi wana maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU). Na Gladness Richard-Katavi Imeelezwa kuwa Kati ya Watu 100 Mmoja kati yao ana Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Mkoani Katavi. Takwimu hizo Zimetolewa na…
2 December 2023, 3:41 pm
RC Katavi apiga marufuku shughuli katika hifadhi ya barabara
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko akizungumza na Wajumbe katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa hatua zaidi ziweze kuchukuliwa kwa Wananchi watakaobainika kufanya Shughuli zilizo kinyume katika hifadhi ya Barabara. Na Anna Milanzi -Katavi Mkuu wa Mkoa wa…
2 December 2023, 1:59 pm
60% ya familia Mpanda zatajwa kutelekezwa na mmoja wa wazazi
Picha na Mtandao Wanaume Wameonekana kuwa na Kiwango Kikubwa cha Utelekezaji wa Familia ikilinganishwa na Wanawake. Na Gladness Richard-Katavi 60% ya Familia Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi zimetajwa kutelekezwa na Mmoja wa Wazazi huku hali hiyo ikisababisha Watoto kutopata haki…
27 November 2023, 1:37 pm
Jumla ya Miradi 9 inayogharimu zaidi ya Tshs Bilioni Moja inatekelezwa Wilayani…
Kamati ya Siasa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi Wakikagua Nyumba ya Watumishi ambayo imekamilika katika Zahanati Kijiji cha Lugonesi Wilaya ya Tanganyika .Picha na Betord Benjamini Zaidi ya Billion 8 zimepatikana katika Biashara ya hewa ya ukaa kwa…
27 November 2023, 12:59 pm
Kamati ya Siasa Mkoa wa Katavi wameitaka Serikali kutoa elimu kwa Wafanyabiash…
Viongozi wa Kamati ya Siasa Mkoa akiwemo Mkuu wa Mkoa wa katavi wa pili kushoto na Mkuu wa wilaya ya Mpanda wa pili kulia Na mwakilishi wa mwenyekiti Ccm mkoa ambaye ni katibu mwenezi Ccm mkoa Joseph lwamba wakitembelea Miradi…
27 November 2023, 12:05 pm
Mkoa wa Katavi umefanikiwa kupokea zaidi ya Bilioni 800 katika utekelezaji wa Mi…
Kamati ya Siasa ikiwa katika kijiji cha Kakese wakikagua Mradi wa Maji .Picha na Betord Benjamini Taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya chama Cha Mapinduzi (CCM ) kwa mwaka 2020 hadi 2025 katika kipindi cha Miaka Miwili kuanzia 2022 hadi…
24 November 2023, 10:34 am
Tanganyika yanufaika na faida ya mauzo ya tumbaku
Uongozi wa Premium Active Tanzania wakikabidhi Mfano wa Hundi yenye Thamani ya Tshs Milion Hamsini na Laki Tatu Kwa Mkuu wa wilaya ya Tanganyika .Picha na Anna Milanzi Wasimamizi wahakikishe wanakabidhi akaunt za kata hizo kwa kampuni hiyo ili mchakato…
22 November 2023, 10:31 am
Zaidi ya watoto 20 huzaliwa njiti kila mwezi mkoani Katavi
Mama anapojihisi kuwa ni mjamzito ni bora awahi kituo cha kutolewa huduma za afya ili kuepuka kujifungua mtoto kabla ya wakati. Na Gladness Richard-Katavi Zaidi ya watoto 20 kila mwezi ndani ya mkoa wa Katavi wameripotiwa kuzaliwa wakiwa njiti huku…
21 November 2023, 10:34 pm
Mbunge Kakoso awakataa madereva walevi
Mbunge Kakoso ameshauri halmashauri hiyo kufanya marekebisho ya magari yaliyoharibika ili yaweze kuendelea kutoa huduma. Na Anna Milanzi -Katavi Mbunge wa jimbo la Mpanda Vijijini mkoani Katavi amekabidhi gari mpya ya wagonjwa kwa halmashauri ya wilaya ya Tanganyika huku akisisitiza…
21 November 2023, 8:33 pm
Machinga Katavi walia na kampuni za utoaji mikopo isiyozingatia sheria
Picha na Mtandao Baadhi ya kampuni hizo zinatoa mikopo kwa kutofuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria. Na John Benjamini-Katavi Wafanyabiashara wadogo [machinga] mkoa wa Katavi wameiomba serikali kuzifuatilia kampuni ambazo zinajihusisha na utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara kutokana na…