Mpanda FM
Mpanda FM
19 May 2025, 3:45 pm
‘Watahakikisha utawala bora na uwajibikaji ndani ya chama unakuwepo.‘ Na Edda Enock -Katavi Makatibu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Katavi wameweka wazi msimamo wao juu ya baadhi ya viongozi kujiudhuru ambapo wamesema kuwa watahakikisha utawala bora na…
19 May 2025, 3:30 pm
‘Miche hiyo itasaidia kupunguza ukame na madhara mengine yanayotokana na uharibifu wa mazingira ‘ Na Ban Gadau -Katavi Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph Kimaro amegawa miche ya miti zaidi ya laki moja kwa wakazi wa Kijiji cha mbugani…
19 May 2025, 3:12 pm
Ulinzi shirikishi katika mtaa wa Mpadeco kata ya Makanyagio manispaa ya Mpanda mkoani Katavi umetajwa kuwa moja ya njia inayosaidia kutokomeza matukio ya kihalifu Wakizungumza na Mpanda Redio FM baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mpadeco wamesema kuwa ulinzi shirikishi…
19 May 2025, 2:50 pm
‘Waishi kwa kufuata maelekezo na misingi ya imani mwenyezi Mungu.‘ Na Samwel Mbugi -Katavi Sheikh mkuu wa mkoa wa Katavi Nassor Kakulukulu amewataka waumini wa dini ya Kiislam mkoani Hapa kuachana na uovu na badala yake waishi kwa kufuata maelekezo…
19 May 2025, 2:35 pm
“wataweka wazi mustakabali wao kisiasa na jukwaa gani la kisiasa ambalo wataelekea .“ Na Ben Gadau -Katavi Wanachama 140 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Mkoani Katavi wametangaza kukihama chama hicho. Wakizungumza wanachama hao, wamesema kuwa wamefikia uamuzi…
19 May 2025, 2:18 pm
‘miradi mingi imetekelezwa na kukamilika na inaleta manufaa kwa wananchi wa halmashauri hiyo.’ Na Betord Chove -Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Tanganyika kwa utekelezaji mahili wa miradi ya kimikakati inayoendelea wilayani hapo…
3 May 2025, 12:56 pm
Picha ya Hassan Masanja mhandishi kitengo cha mafuta kanda ya magharibi. Picha na Anna Mhina. “Hairuhusiwi kubeba mafuta kwenye madumu” Na Rhoda Elias Baadhi ya madereva wa vyombo vya moto wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi, hawana uelewa wa kutosha…
3 May 2025, 11:59 am
Picha ya waombolezaji. Picha na Samwel Mbugi “Tunaonewa sisi wanyonge” Na Beny Gadau Wananchi wa mtaa wa Ilembo manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameitaka serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria wahusika wa kifo cha Ediga Mwaniwe mfanyabiashara na mchimbaji wa…
3 May 2025, 11:40 am
Picha ya afisa habari msaidizi wa jeshi la zimamoto na uokoaji Katavi. Picha na Anna Mhina. “Lengo la maadhimisho ni kuwakumbuka waliopoteza maisha wakiwa kazini” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba…
2 May 2025, 2:02 pm
Picha ya maandamano siku ya wafanyakazi duniani. Picha na Restuta Nyondo. “Msikubali kutoa rushwa ya ngono ili kupata haki zenu” Na Restuta Nyondo Wafanyakazi mkoani Katavi wamesema bado taasisi na halmashauri zinalegalega katika kulipa madai kwa muda mrefu ikiwemo fedha…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
