Mpanda FM
Mpanda FM
4 June 2025, 9:47 am
Meneja wa EWURA mhandisi Walter Christopher . Picha na Leah Kamala “Sisi kama EWURA tumelegeza masharti ili wawekezaji wawekeze vituo vya mafuta vijijini” Na Leah Kamala Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya…
4 June 2025, 9:31 am
“Hali ya barabara sio salama” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mpadeco kata ya Makanyagio wamelalamikia ukarabati wa barabara za mitaa zilizorekebisha bila kumwagiwa maji wala kushindiliwa ambapo kumesababisha vumbi ambalo limekuwa kero. Wakizungumza na Mpanda radio…
2 June 2025, 12:26 pm
Picha ya matofali yaliyofyatuliwa kwenye makazi ya watu. Picha na Samwel Mbugi “Hairuhusiwi kuchoma tofali katikati ya makazi ya watu” Na Samwel Mbugi Wananchi wanaojishughulisha na ufyatuaji tofali katika eneo la Mpanda hotel wametakiwa kuzingatia utaratibu na sheria za mazingira …
2 June 2025, 12:07 pm
Picha ya kitabu cha katiba “Pia ukisoma katiba utaelewa umuhimu wa kupiga kura” Na Leah Kamala Wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni yao kuhusu umuhimu wa kujua na kutambua Katiba ya nchi ili kujenga jamii iliyo na…
26 May 2025, 1:20 pm
Mama lishe wilaya ya Tanganyika baada ya kupokea mitungi ya gesi. Picha na Eda Enock “kumekuwa na ongezeko kubwa la ukataji miti mkoa wa Katavi kwasababu watu wengi hawajafikiwa na nishati safi” Na Eda Enock Wananchi mkoa wa Katavi wametakiwa…
26 May 2025, 12:42 pm
“Msikitini hapa pana shule ya watoto wadogo ni vema kuchukua tahadhari na kila mtu kuwa mlinzi wa mwenzie” Na Bertod Chove Baadhi ya wananchi wanaofanya shughuli za kilimo na ufyatuaji tofali katika moja ya bonde linalopatikana eneo la Kasimba Manispaa…
19 May 2025, 5:30 pm
‘Amewaasa wananchi kuachana na matumizi ya earphone ili kuepukana na changamoto za uchovu wa masikio,maumivu ya kichwa.‘ NA Rhoda Elias -Katavi Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkaoni Katavi wameiomba serikali kutoa elimu zaidi juu ya madhara yanayoweza kutokana na…
19 May 2025, 5:01 pm
‘lengo kuu la maadhimisho hayo ni kutambua mchango wa vyombo vya habari katika jamii ‘ Na Ben Gadau -Katavi Kila mwaka, Mei 3 huadhimishwa kama Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Waandishi wa habari mkoani Katavi wameadhimisha siku…
19 May 2025, 4:22 pm
‘uchafu huo unaotokana na viwanda hivyo zinawasababisha wao kupata mafua ya mara kwa mara na kuharibu biashara zao‘ Na Samwel Mbugi-Katavi Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la jioni linalofanyika eneo la kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoa wa…
19 May 2025, 4:05 pm
‘serikali imejipanga kuifanya bandari ya Karema kuwa kitovu cha biashara‘ Na betord Chove -Katavi Wabunge kutoka mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma, ambayo inapakana na Ziwa Tanganyika, Wametembelea bandari ya Karema, kwa lengo la kujionea maendeleo ya ujenzi wa bandari…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
