Recent posts
13 August 2024, 9:42 am
DC Mpanda apiga marufuku kufanyisha kazi watoto katika machimbo
“Watoto wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo kutumikishwa kazi katika migodi, wanafanyiwa vitendo vya ubakaji na ulawiti” Na Anna Milanzi -katavi Katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa Watoto, wananchi katika Kijiji cha dirifu kata ya magamba wilaya ya…
9 August 2024, 10:23 am
ACT Wazalendo yasikiliza kero za wananchi Katavi
mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT wazalendo zuberi zitto kabwe akizungumza na wananchi mkani Katavi.picha na John Mwasomola “Amekutana na kero ya wananchi kudai kuhamishwa eneo hilo la luhafwe kwa ajili ya kupisha wawekezaji 26 “ Na John Mwasomola -Katavi…
8 August 2024, 9:51 am
Katavi :Wafanyabiashara walia na umeme
picha na mtandao “kukatika kwa umeme mara kwa mara kunasababisha kushuka kiuchumi ambapo wafanyabiashara hao wanajikuta wanakuwa na kipato duni” Na John Benjamin- Katavi Wafanyabiashara manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia adha ya kukatika kwa umeme mra kwa mara hali…
8 August 2024, 9:28 am
Wananchi Katavi watakiwa kuchunguza miili yao kuepukana na magonjwa sugu
Picha na Mtandao “kupima afya ya mwili mara kwa mara kunasaidia kuondoa usugu wa magonjwa kwani kama ukibainika kuwa na ugonjwa unatibiwa katika hatua za awali za ugonjwa” Na Rachel Ezekia-Katavi Baadhi ya wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani Katavi…
30 July 2024, 1:19 pm
TAKUKURU Katavi yaitaka jamii kutojihusisha na vitendo vya Rushwa wakati wa ucha…
kamanda wa taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa katavi Stuart Kiondo .Picha na Betord Chove “taasisi hiyo imejipanga kutoa elimu Kwa wananchi na wanaopanga safu za uongozi,wagombea Ili waweze kutambua madhara ya rushwa“ Na Betord Chove…
30 July 2024, 11:55 am
Katavi :Bilion moja kutolewa kwa wasanii halmashauri ya Nsimbo
Afisa mtendaji mkuu mfuko wa utamaduni na sanaa Tanzania Nyakaho Mturi Mahemba .picha na Samwel Mbugi “amewataka wananchi kuacha kukopa mikopo ya kausha damu kwani imekuwa ikirudisha maendeleo nyuma kwa wananchi.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Afisa mtendaji mkuu mfuko wa…
24 July 2024, 12:00 pm
Katavi: Vijana watakiwa kuchangamkia fursa katika sekta ya kilimo
Wajumbe wa kikao cha jukwaa la vijana la kilimo katika ukumbi wa LATCU uliopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.picha na Lilian Vicent “wajumbe walioshiriki wamebainisha kuwa kupitia jukwaa hilo wanatarajia vijana wataendea kuhamasika“ Naa Lilian Vicent Katavi Vijana mkoani Katavi…
23 July 2024, 4:38 pm
Mpanda Radio FM kujenga choo bora kwa kaya moja yenye uhitaji
Mke na Mume wa kaya hiyo ambao wanauhitaji wa choo ambapo wanasaidiwa na majirani kwa sasa .picha John Mwasomola “Kaya hiyo ambayo ni wazee na wanashindwa namna ya kumudu kupata choo bora kutokana na kutokuwa na watu wa kuwasaidia kwani…
20 July 2024, 10:34 pm
Zaidi ya bilioni 50 kutumika ujenzi wa skimu ya umwagiliaji Katavi
“Ujenzi Skimu ya uwagiliaji uliopo kata ya Mwamkulu halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi utagharimu kiasi cha fedha shilingi bilioni 31.6 na kutarajia kuhudumia zaidi ya wakulima 430.“ Na John Benjamin -Katavi Serikali nchini Tanzania imepanga kutumia zaidi ya…
20 July 2024, 5:41 pm
Bodaboda Katavi wamkataa mwenyekiti wao, wamtaka ajiuzulu
Baadhi ya madereva bodaboda waliojitokeza katika kikao hicho.picha na John Mwasomola “Wamemtaka kiongozi huyo kuachia nafasi yake ya uenyekiti ili kupisha uchunguzi kutokana na shutuma za upotevu wa pesa taslimu kiasi cha laki 6 na thelathini.“ Na Ben Gadau -Katavi…