Mpanda FM

Vijana Katavi wahamasika kulima zao la alizeti

2 December 2025, 3:23 pm

Vijana wa kikundi cha jitambue. Picha na Anna Milanzi

“Tunawahakikishia tunawalink na taasisi mbalimbali za kifedha”

Na Anna Milanzi

Vijana kutoka katika kikundi cha kijana jitambue kilichopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamehamasika kulima zao la alizeti kutokana na zao hilo kuwa na thamani .

Hayo yamejiri mara baada ya kikundi hicho kutembelewa na mtekelezaji wa mradi wa YEFA ulio chini ya taasisi ya Licolto Win Elibariki na kuwapatia fursa watakazopata vijana hao kupitia mradi huo ambao unahusisha vijana ili waweze kujikwamua kiuchumia katika zao la alizeti.

Sauti ya Win

Mdau wa masuala ya kilimo ambaye pia ni afisa kilimo John Kapesula amesema uwepo wa mradi huo ni fursa nzuri kwa vijana hao.

Sauti ya afisa kilimo

Mwanzilishi wa jukwaa hilo la kijana jitambue ambae pia ni mwandishi wa habari wa Mpanda redio FM  Anna Milanzi amesema uwepo wa mradi huo unakwenda kufungua tumaini jipya kwa vijana hao ambao wanashauku ya kujiimarisha kiuchumi

Sauti ya mwanzilishi wa jukwaa

Kwa upande wa vijana hao wamepongeza Licotlo kwa kuja na mradi huo ambao umefungua fursa kwa vijana kupitia zao la alizeti

Sauti za vijana