Mpanda FM

Mbolea vunde msaada kwa wakulima kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi –COP30.

20 November 2025, 12:06 pm

Picha na mtandao.

“wanasema kwamba mashamba yamechoka wanaenda kulima mbali”

Na Restuta Nyondo

Wakati mkutano wa COP30 ukiendelea wakulima wameeleza matumizi ya mbolea vunde (asili) inavyowasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika uzalishaji wa mazao

Katika kipindi hiki utawasikia wakulima na mtaalamu wa Kilimo.