Mpanda FM
Mpanda FM
5 October 2025, 6:40 pm

Baadhi ya wachangiaji wa mada.Picha na Anna Mhina
“Tunashindwa kuhudhuria kwasababu hawatekelezi ahadi zao”
Na Anna Mhina na Roda Elias
Baadhi ya wanawake wa mtaa wa Mpadeko uliopo kata ya Makanyio wilayani Mpanda mkoani Katavi wameiomba mamlaka husika kutoa elimu kwa wanaume juu ya umuhimu wa kushiriki mikutano ya kampeni.