Mpanda FM

Umuhimu wa mwanaume kuhudhuria kliniki

2 October 2025, 2:47 pm

Omary Yusuph daktari kitengo cha magonjwa ya wanawake na uzazi. Picha na Anna Mhina

“Kuna madhara mengi mojawapo kujifungua kwa operation”

Na Anna Mhina

Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Msasani uliopo kata ya Mpanda Hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kutoa elimu juu ya umuhimu wa wanaume kuhudhuria kliniki pindi wake zao wanapokuwa wajawazito.