Afya
28 October 2026, 10:44
Shamba la Kibidula kuongeza uzalishaji wa parachichi hadi tani 120 kwa siku
Shamba hilo limeajiri wafanyakazi 263 na kuchangia zaidi ya shilingi bilioni moja katika mapato ya kodi Na Hafidh Ally Uongozi wa Shamba la Parachichi la Kibidula lililopo katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga, mkoani Iringa, umesema unatarajia kuongeza uzalishaji wa…
28 October 2026, 9:34 am
Amnyonga hadi kufa mtoto wa boss wake Geita
Kamanda wa polisi mkoa wa Geita akizungumza na waandishi wa habari. Picha na Kale Chongela Chanzo cha tukio hilo kinahusishwa na imani za kishirikina baada ya dada huyo wa kazi kupandisha mapepo kisha kumnyonga mtoto huyo ndani ya nyumba. Na:…
23 October 2026, 7:15 pm
Kipi kifanyike kuondoa ukatili wa kijinsia kwenye jamii?
Picha ya mtu aliyewahi kufanyiwa ukatili wa kijinsia. Picha na mtandao Kipindi hiki maalum kinachoangazia masuala ya ukatili wa kijinsia kwenye jamii kinapewa nguvu na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Storm FM. Na: Ester…
23 October 2026, 15:33
Wakulima kuwezeshwa kufikia dira ya taifa ya 2050
Mchango wa sekta ya kilimo ni mkubwa katika uchumi wa nchi na ni muhimu kuwekeza katika sekta hiyo ili uwiano uwe sawa na sekta nyingine Sadick Kibwana Serikali Mkoani Kigoma imepanga kuyafikia makundi mbalimbali ya wakulima ikiwemo vyama vya Ushirika,…
20 October 2026, 14:26
Wataalam wa mfumo wa ukaguzi wa kodi TRA kujikita Ifakara
Baadhi ya Watumishi na Wafanyabiashara wakiwa katika Kikao na Kamishana Mkuu wa Mamalaka ya Mapato Tanzania picha na mpiga Picha kuanzia Jumatatu Wataalamu wa Mkoa na wa Makao makuu watakuwa hapa kuanza kutatua ukaguzi wa Makadirio ya Kodi-Kamishna Mkuu TRA.…
19 October 2026, 16:32
Wakulima Kigoma waaswa kuzingitia kilimo bora
Benki ya Kilimo TADB imewataka wakulima Mkoani Kigoma kuzingatia kilimo bora ili kuhakikisha wanapata mazao yenye ushindani katika soko la ndani na nje Na Sadick Kibwana Wakulima Mkoani Kigoma wameaswa kuwa na mtazamo wa kuendesha kilimo cha kibiashara kwa kuzingatia…
13 October 2026, 6:42 pm
Idara ya Maendeleo ya Mifugo Zanzibar yatoa mafunzo kwa wafugaji Chamanangwe
mafunzo hayo yamejikita zaidi kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa, lengo ni kuwapa ujuzi wa kitaalamu utakaowasaidia kuboresha ufugaji na kuongeza uzalishaji wa maziwa Na Essau Kalukubila. Katika kuendeleza elimu na ujuzi kwa wafugaji, Idara ya Maendeleo ya Mifugo Zanzibar…
13 October 2026, 09:09
Mufindi yafungua fursa za uwekezaji, biashara, ajira
Maonesho hayo yanaendana na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayolenga kuijenga Tanzania yenye uchumi imara na shindani, maendeleo jumuishi, ustawi wa wananchi na fursa zaidi za kiuchumi. Na Fredrick Siwale Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dkt. Linda…
12 October 2026, 11:47 am
Wafugaji Nyuki kisiwani Pemba wapigwa msasa
Kwa miaka mingi kazi ya ufugaji wa Nyuki imekua ni kazi ya uvumilivu na maumivu na kuhatarisha maisha ambapo wafanyaji wa kazi hiyo wanakumbana na kadhia kadhaa ikiwemo kutafunwa na nyuki pindi wanapovuna asali huku wakiambulia uzalishaji duni wa asali…
7 October 2026, 9:24 pm
Mufindi yaandaa jukwaa la uwekezaji kutangaza fursa
Kufanyika kwa Jukwaa hilo la maonesho ya fursa za uwekezaji kunatajwa kuwa nguzo muhimu katika kuchochea na kuinua uchumi wa wilaya ya Mufindi na Taifa kwa ujumla Na Jackson Machowa. Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imeanzisha Jukwaa la Uwekezaji na…