Mpanda FM
Mpanda FM
19 September 2025, 12:38 pm

Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mjadala, aliyesimama ni mtangazaji wa Mpanda radio FM Betord Chove. Picha na Benny Gadau
“Ili niweze kupiga kura cha kwanza niwe na kitambulisho”
Na Betord Chove na Benny Gadau
Mpanda radio FM kwa kushirikiana taasisi ya Tosovic wamefanya mjadala na wadau manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu elimu ya uchaguzi.