

4 March 2025, 7:04 pm
“Wadhibiti ubora wa shule wa ndani na wa nje wanahakikisha shughuli za shule zinafanyika kwa ukamilifu “
Kupitia kipindi hiki utasikia namna wathibiti ubora wilayani Tanganyika wanavyofanya kazi na kuhakikisha elimu bora inaendelea kutolewa kwa kuzingatia uwepo wa miundombinu rafiki ambayo inamsaidia mwanafunzi kupata elimu iliyo bora sambamba na na upatikanaji wa vitendea kazi vya shule.