Radio Tadio

Elimu

17 November 2026, 8:55 pm

Uhamiaji Sengerema yawaonya wananchi kuhifadhi wahamiaji haramu

Idara ya uhamiaji nchini inaendelea kuwambusha wananchi juu ya makosa yanayoweza kuwakuta baada ya kuhifadhi wahamiaji haramu bila kutoa taarifa zao Na;Anna Elias ,Emmanuel Twimanye Mrakibu wa uhamiaji Adam Tebuye Afsa uhamiaji wilaya ya Sengerema amewataka wananchi kutoa taarifa za…

16 November 2026, 11:33 am

Kigoma yapata pampu 75 za umwagiliaji

Pampu hizo zinalenga kuwawezesha wakulima kufanya shughuli za kilimo kwa uhakika zaidi, hususani katika maeneo ambayo yamekuwa yakikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji. Na. Rehema Iddi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amesema Serikali kupitia Tume ya…

2 November 2026, 20:07

Meya atoa onyo kwa wakandarasi wa vizimba vya taka

Wakandarasi waliokabidhiwa mradi wa kujenga Vizimba vya kuhifadhia taka wametakiwa kukamilisha mradi huo kwa wakati uliopangwa kama walivyokubaliana katika mkataba. Hayo ameyasema Msatahiki Meya wa Baraza la Manispaa Kati Said Hassan Shaaban wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi…

28 October 2026, 7:49 pm

Mpangaji anayeshindwa kulipa kodi kwa wakati ni mvamizi

Wapangaji na wapangishaji wametakiwa kuingia mikataba ya maandishi inayobainisha kiasi cha kodi, muda na utaratibu wa malipo ili kulinda haki zao na kuepusha migogoro. Na Mohamed Habibu Wakili wa kujitegemea mkoani Tabora Kanani Chombala, amewataka wapangaji na wapangishaji wa nyumba…

13 October 2026, 11:12 am

Elimu ya matumizi ya kilimo bora cha kisasa

matumizi ya mbegu bora, kuzingatia muda sahihi wa kupanda, maandalizi ya shamba na kufuata ushauri wa wataalamu Na. Rehema Iddi Wananchi wa Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma kwa ujumla wametakiwa kuzingatia matumizi ya kilimo bora na cha kisasa,…

12 October 2026, 1:45 pm

Je, jamii inawapa fursa za kiuchumi wenye ulemavu?

“tunajishughulisha lakini wasio na ulemavu wanadhani mda wote tunaomba msaada na sisi tuna uwezo kama wao“ Na Restuta Nyondo Karibu kusikiliza mjadala ambao unazungumzia nini kifanyike ili watu wenye ulemavu wapate nafasi sawa za kichumi katika jamii mkoaani Katavi.

1 September 2026, 2:02 pm

Mkakati wa kuongeza uzalishaji wa zao la nyanya Geita

Mahitaji ya nyanya yamekuwa makubwa wilayani Geita huku wakulima wakitakiwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya mbogamboga hali ambayo itasaidia kuwawezesha wakulima kuongeza kipato na kukidhi mahitaji ya soko Na Mrisho Sadick: Wakulima wa mbogamboga wilayani Geita mkoani Geita wametakiwa kutumia…