Sengerema FM

Uhamiaji Sengerema yawaonya wananchi kuhifadhi wahamiaji haramu

17 November 2026, 8:55 pm

Mrakibu wa uhamiaji Adam Tebuye Afsa uhamiaji wilaya ya Sengerema akizungumza kwenye kipindi cha pambazuko na Radio Sengerema,Picha na Emmanuel Twimanye

Idara ya uhamiaji nchini inaendelea kuwambusha wananchi juu ya makosa yanayoweza kuwakuta baada ya kuhifadhi wahamiaji haramu bila kutoa taarifa zao

Na;Anna Elias ,Emmanuel Twimanye

Mrakibu wa uhamiaji Adam Tebuye Afsa uhamiaji wilaya ya Sengerema amewataka wananchi kutoa taarifa za wahamiaji haramu na watu wanao watilia mashaka juu uraia wao.

Haya amaeyasema kwenye kipindi cha pambazuko na Radio Sengerema Sehemu ya pili wakati wakiendelea na kampeni ya MJUE JIRANI YAKO

Kipindi cha pambazuko sehemu ya pili na Afsa uhamiaji wilaya ya Sengerema Mrakibu wa uhamiaji Adam Tebuye