On air
Play internet radio

Recent posts

24 April 2024, 8:00 pm

DC Sengerema aongoza wananchi kupanda miti miaka 60 ya muungano

Katika Zoezi hili la Kumbukizi ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar jumla ya miche 800 imepandwa katika eneo la Hospitali ya Wilaya ya Sengerema sambamba na kufanya usafi katika Eneo hilo. Na:Kelvin Philipo Wananchi Wilayani Sengerema Mkoani…

23 April 2024, 7:57 pm

Utumiaji wa ugoro chanzo kansa ya mdomo kwa vijana

Kufatia kuwepo na wimbi kubwa la vijana nchini kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya ikiwemo ugoro, jamii imeonywa kuachana na matumizi ya madawa hayo ili kuondokana na madhara yanayoweza kumpata ikiwemo kupata kansa. Na:Emmanuel Twimanye Vijana   Wilayani  Sengerema  Mkoani…

19 April 2024, 11:37 am

Marufu pikipiki za Samia kuendeshea bodaboda

Chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Sengerema kimegawa pikipiki kwa viongozi wake wa kata na matawi ili kuwarahisishia kazi zao za kichama. Na:Emmanuel Twimanye Viongozi  wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  waliopatiwa pikipiki na chama hicho  wamepigwa…

16 April 2024, 4:00 pm

Amuua mke kisa wivu wa kimapenzi

Matukio ya kujeruhi na kuua wenza wao yamezidi kushamili katika maeneo ya Kanda ya ziwa hasa katika wilaya ya Sengerema ambapo zaidi ya matukio matano yameripotiwa kutokea ndani ya miezi mitatu. Na:Said Mahera Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina la Jackson…

4 April 2024, 4:26 pm

Marufuku kwenda na watoto kwenye kumbi za Starehe

Kutokana na kkuongezeka kwa mmomonyoko wa maadili kwa watoto nchini Serikali ya mtaa wa Migombani Imepiga marufuku wazazi kwenda na watoto kwenye kumbi za Starehe mjini Sengerema Na:Emmanuel Twimanye Serikali ya mtaa wa Migombani Kata ya Nyampulukano Wilayani Sengerema Mkoani…

2 April 2024, 3:13 pm

Akatwa mapanga usiku akienda kwenye mkesha wa pasaka

Mtu asiyejulikana amemjeruhi kwa mapanga mwanamke anayejulikana kwa majina ya Mariam Sebagi  mkazi wa  mtaa wa Misheni usiku akiwa na wenzake wakielekea kwenye mkesha wa Pasaka mjini Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Mariam Sebagi mkazi wa…

29 March 2024, 6:41 pm

Sengerema: Watakaofanya uhalifu sikukuu za Pasaka kukiona

Wakristo ulimwenguni kote wanaungana kuadhimisha sikukuu ya Pasaka kama kumbukumbu ya mateso, kufa na kufufuka kwa bwana Yesu kristo. Na;Emmanuel Twimanye Serikali ya mtaa wa Geita Road kata ya Nyatukala wilayani Sengerema mkoani Mwanza  imetangaza mapambano  makali dhidi ya wahalifu…

25 March 2024, 6:52 pm

Wanafunzi wachapwa viboko 75 kwa tuhuma za kufanya mapenzi shuleni

Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa adhabu hizo haufuati taratibu, kanuni pamoja…

22 March 2024, 6:38 am

Chama cha Mapinduzi cha shinda udiwani Kata ya Buzilasoga Sengerema

Kata ya Buzilasoga ni miongoni mwa kata 22 za Tanzania bara ambazo tume ya uchaguzi ilitangaza kufanyika uchaguzi mdogo katika kata hizo ambapo mgombea wa chama cha mapinduzi ndiye aliyetangazwa kuibuka mshindi kati ya wagombea wengine nane kutoka vyama tofauti.…

21 March 2024, 5:14 pm

TFS Sengerema yapanda miti kukabiliana na uharibifu wa mazingira

Kutokana na kuongezeka kwa changamoto ya mabadiliko ya tabianchi duniani jamii imezidi kuhimizwa kupanda na kutunza misitu ili kusaidia kupunguza hewa ya ukaa inayotajwa kutesa dunia ya sasa. Na: Elisha Magege Jamii imetakiwa kupanda miti kwenye maeneo ya wazi ili…