Recent posts
30 September 2024, 14:58 pm
Wasimamizi wasaidizi Mtwara DC wafundwa uchaguzi serikali za mitaa
Haya yote ni katika kuhakikisha elimu inawafikia makundi ya aina mbalimbali kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwezesha kupata viongozi waliokidhi vigezo,kanuni na masharti yaliyolengwa . Na Musa Mtepa Ndug. Abeid Abeid Kafunda, msimamizi wa uchaguzi, amesisitiza umuhimu…
30 September 2024, 11:27 am
TANECU yawaita Wananchi Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha kubangua Korosho
Matarajio kwa miaka mitano ijayo katika uwekezaji wa viwanda vya korosho ni kuona wawekezaji kutoka nchini Uholanzi na china ambao wameonesha mahitaji ya korosho karanga. Na Musa Mtepa Wananchi wa Mtwara wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa kiwanda cha…
30 September 2024, 08:08 am
Viongozi vyama vya siasa wapata maelekezo uchaguzi serikali za mitaa
Huu ni uchaguzi unaowaweka madarakani viongozi wa mitaa, vijiji, vitongoji na wajumbe wake ambapo kanuni za mwaka huu zinamtaka mgombea katika nafasi mbalimbali kuwa na umri zaidi ya miaka 21 na mwenye sifa ya kuchagua ni yule mwenye umri kuanzia…
30 September 2024, 01:13 am
Waziri Bashe kuzindua kiwanda cha kubangua korosho Mtwara
Suala la viwanda kumilikiwa na wakulima ni jambo la umuhimu na wakulima hawawezi kumiliki viwanda hivyo pasipo kushirikiana na vyama vya ushirika pamoja na usimamizi wa tume ya ushirika nchini. Na Musa Mtepa Waziri wa Kilimo Husein Bashe, tarehe 1…
29 September 2024, 00:35 am
Kafunda ataka uelewa kanuni za uchaguzi Mtwara Vijijini
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa serikali imejikita katika kuhakikisha inatoa elimu ya kutosha kwa wananchi wote wenye sifa wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huo kwa kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ili waweze kushiriki katika kuchagua kiongozi wanae mtaka Na Musa…
28 September 2024, 10:20 am
Watu wenye ulemavu wahimizwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa
Abdala Saidi Adam ni mlemavu wa macho aliyefanikiwa kupata elimu ya sekondari ya kidato cha nne na kufaulu lakini alishindwa kuendelea na masomo kutokana na hali ngumu ya Maisha ya wazazi wake hivyo akalazimika kurudi nyumbani na kuendelea na Maisha…
26 September 2024, 17:44 pm
Wananchi wasisitizwa kushiriki kikamilifu uchaguzi serikali za mitaa
Uchaguzi wa Serikali za mitaa kote nchini unatarajiwa kufanyika Novemba 27,2024 ambapo kwa mujibu wa kanuni Wakurugenzi wa halmashauri ndio wasimamizi wakuu wa uchaguzi huo. Na Musa Mtepa Wananchi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wametakiwa kushiriki kikamilifu katika michakato ya…
26 September 2024, 14:31 pm
Mmoja ahofiwa kupoteza maisha kwa kuliwa na mamba mto Ruvuma
Katika kipindi cha miaka miwili inasemekana ni zaidi ya watu wanne wameripotiwa kupoteza maisha kwa kushambuliwa na mamba katika eneo la Kiyongo hali inayoendelea kuhatarisha uhai wa wakulima na wavuvi wanaofanya shughuli zao katika eneo hilo. Na Musa Mtepa Mtu…
21 September 2024, 16:15 pm
Waandishi wa habari, wadau wafanya usafi Mtwara
Hii ni Siku ya usafi Duniani ambapo chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) kwa kushirikiana na ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Mtwara Mikindani, Ofisi ya Mbunge Mtwara Mjini ,Mganga mkuu wa mkoa na Wadau wengine wamefanya usafi…
20 September 2024, 19:24 pm
Meli iliyobeba makasha 459 yatia nanga bandari ya Mtwara
Msimu wa 2023/2025 meli za kusafirsha korosho zilichelwa kufika ktika bandari ya Mtwara hali iliyoleta changamoto kwa wanunuzi wa zao hilo ambapo kwa mwaka huu imekuwa tofauti meli na makasha yamefika mapema kabla hata ya mnada wa kwanza wa zao…