Recent posts
8 November 2024, 23:28 pm
Madiwani Mtwara wasusia baraza kisa matukio ya uchaguzi wa serikali za mitaa
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kususia kikao hicho ni kwa kile walichokiita kutotendewa haki kwa wagombea wao kwa kuwaondoa katika orodha ya wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kosa la kujaza vibaya fomu. Na…
8 November 2024, 09:40 am
Diwani Madimba aitaka halmashauri kuiangalia jicho la tatu shule ya msingi Litem…
Miundombinu ya shule ya Msingi Litembe hali yake Mbaya hivyo halmashauri isipochukua hatua kuelekea msimu wa mvua kunauwezekano wa kufungwa kutokana na majengo yake kuchakaa. Na Musa Mtepa Diwani wa kata ya Madimba, Idrisa Ali Kujebweja, ameitaka Halmashauri ya Mtwara…
7 November 2024, 22:16 pm
Kamati ya usalama Mtwara yafanya ukaguzi bandarini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassani alipofanya ziara mwaka jana aliagiza viongozi wa mkoa na taifa kwa ujumla kuhakikisha korosho zote zinazo zalishwa katika mikoa ya Kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma zote zinasafirishwa kupitia Bandari ya…
7 November 2024, 16:17 pm
Huduma bure ya mama mjamzito na watoto wachanga-Makala
Na Gregory Millanzi Sera ya afya ya mama na mtoto nchini Tanzania inalenga kuboresha afya na ustawi wa wanawake wajawazito, watoto wachanga, na watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza sera ya afya inayotoa…
7 November 2024, 11:56 am
Wanahabari Mtwara wahimizwa kuwasemea watoto wenye mahitaji maalum
Walimu wenye ujuzi wa kuwafundisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu ni wachache na wakati mwingine hata Mwalimu mkuu wa baadhi ya shule hawafahau na hawana uelewa juu ya mkakati na mwongozo wa Elimu jumuishi Na Musa Mtepa Waandishi wa Habari mkoani…
6 November 2024, 16:52 pm
Uhitaji wa utafiti wa vyanzo vipya vya nishati ya gesi asilia mkoani Mtwara
Na Musa Mtepa Mkoa wa Mtwara, ulio kusini mwa Tanzania, ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za nishati, hasa gesi asilia. Hata hivyo, licha ya kuwa na rasilimali hizi, bado kuna changamoto katika kutumia gesi asilia kwa…
5 November 2024, 16:47 pm
Miaka 62 hakuna mtoto aliyesoma darasa la awali
Na Gregory Millanzi/ Mwanahamisi Chikambu Miaka 62 iliyopita tangu kupata uhuru wa nchi ya Tanganyika na baadae kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kijiji cha Ngorongoro kata ya Nanguruwe Halamashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani hapa, hakijawahi kuwa na wanafunzi waliosoma elimu…
3 November 2024, 10:57 am
Mudy Ray aahidi saruji, vifaa vya michezo shule ya msingi Ruvula
Hapo awali shule ya msingi Ruvula ilikuwa shule shikizi ambapo mwaka 2023 ilipata usajili rasmi wa kutambulika kuwa shule kamili na mwaka 2024 kwa mara ya kwanza imehitimisha wanafunzi 20 wa darasa la saba huku 17 kati yao wakielekea kidato…
2 November 2024, 21:13 pm
Makungwi Mtwara Kuwacheza Watoto unyago Kuanzia Miaka Kumi
Na Mwanahamisi Chikambu Makungwi mkoani Mtwara wamependekeza kuwacheza watoto kuanzia umri wa miaka kumi na kuendelea ili watoto waweze kuelewa wanayofundishwa katika jando na unyago na kuacha kufundisha mila potovu ambazo hazileti tija kwa jamii. Wameyasema hayo katika kikao cha…
1 November 2024, 09:09 am
Nyumba yateketea kwa moto Mtwara
Wananchi endeleeni kutumia namba 114 kutoa taarifa kwa wakati pindi tukio la moja linapotokea ili kusaidia jeshi la zimamoto na uokoaji kufika kwa wakati katika eneo la tukio Na Musa Mtepa , Henry Abdala Katika tukio la kusikitisha, nyumba moja…