Jamii FM
Jamii FM
16/12/2025, 16:59
Ujenzi wa kiwanda cha Tells One General Supply Mahuta wilayani Tandahimba mkoani Mtwara umeleta faraja kwa akina mama na wabanguaji wadogo wa korosho. Kiwanda hicho kimewezesha upatikanaji wa soko, ajira na kuboresha maisha ya wananchi hususan wanawake wa eneo hilo…
13/12/2025, 11:55
Taassisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele imefanya mkutano wa mwaka na wadau wa kilimo kuwasilisha matokeo ya tafiti na kujadili mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, huku ikilenga kuongeza uzalishaji wa zao la korosho msimu…
12/12/2025, 19:30
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, alifanya ziara ya kikazi Mtwara kufuatilia msimu wa korosho 2025/2026, kuhimiza ruzuku ya pembejeo kwa wakulima, kuanzisha teknolojia ya ndege nyuki kupulizia dawa, na kuagiza TARI-Naliendele kufanya utafiti wa changamoto za korosho kutokana na mvua…
12/12/2025, 19:12
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amemuagiza Mkurugenzi wa COPRA kuhakikisha mazao ya Ruvuma, Lindi na Mtwara yapitie Bandari ya Mtwara ili kuongeza tija, kurahisisha upakiaji na kuhakikisha fursa zinabaki kwa wakazi wa mikoa hiyo Na Musa Mtepa Waziri wa kilimo…
12/12/2025, 18:53
Wakulima wa korosho Nanyamba wamelalamikia tofauti kubwa ya bei ukilinganisha na Tandahimba, hali inayowalazimisha kuhamishia mazao yao Tandahimba Na Musa Mtepa Baadhi ya wakulima wa zao la korosho wamehoji juu ya utofauti wa bei ya korosho unaojitokeza sokoni kati ya…
10/12/2025, 21:16
Wananchi wa Kitongoji cha Nunu, Msakala, wameamua kuchangia shilingi 2,000 kwa kila nyumba ili kumleta mganga wa jadi baada ya hofu ya “mlipuko wa ugonjwa wa moyo.” suluhisho Na Musa Mtepa Katika hali ya kushangaza, wananchi wa kitongoji cha Nunu…
09/12/2025, 12:25
Afisa wa TASA, imeitaka jamii kutenga muda wa kufikiria na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro, ikisisitiza kuepuka hisia na kutoegemea upande wowote Na Musa Mtepa Jamii imetakiwa kutenga muda wa kufikiria, kuchakata na kutoa maamuzi sahihi katika kutatua migogoro…
08/12/2025, 11:14
Serikali imeombwa kuongeza wanunuzi wa zao la mwani ili kuboresha ushindani wa soko huku wakulima wakilalamikia bei ya shilingi 800 ambayo haiendani na gharama za uzalishaji na usafirishaji kutoka baharini Na Musa Mtepa Wakulima wa mwani kutoka Kijiji cha Naumbu,…
04/12/2025, 17:41
Ikiwa leo ni Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani, siku hii imeambatana na mabadiliko ya tabianchi na uwepo wa mabadiliko hayo kuna athari kwa watu wenye ulemavu. Na Grace Hamisi Shirika lisilo la kiserikali Sports Development Aids (SDA) kupitia mradi…
27/11/2025, 18:01
Akiwa ni mtu mwenye ulemavu wa viungo, amejitolea kuitumia taaluma yake kuibua na kusimulia hadithi za jamii, hususan za watu wasiojiweza na watu wenye ulemavu. Na Msafiri Kipila Katika jamii inayozingatia usawa wa haki na fursa, ni muhimu kila mwananchi…
Who we are
JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.
Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.
Vision
The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.
Coverage:
Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.