Jamii FM

Recent posts

17 February 2025, 19:06 pm

Simba SC yatua Mtwara, kuwakabili Namungo Feb 19 Ruangwa

Katika misimu miwili iliyopita simba sc haijawahi kushinda mchezo wowote wa ligi kuu katika uwanja wa Majaliwa dhidi ya Timu ya Namungo ,katika michezo miwili waliyocheza katika miimu hiyo miwili wameambulia kupata sare. Na Musa Mtepa Timu ya soka ya…

11 February 2025, 14:36 pm

‘Sauti ya mwanamke’ kunufaisha wananchi 13,500 Mtwara

Mradi huu unatarajia kutekelezwa katika kata zote 18 za manispaa ya Mtwara Mikindani huku lengo kuu likiwa kutoa elimu juu ya msaada wa kisheria ,haki na umiliki wa mali (Ardhi) na unyanyasaji wa kijinsia Na Musa Mtepa Zaidi ya wananchi…

2 February 2025, 12:02 pm

Wananchi Makome B waiomba serikali kukamilisha ujenzi wa sekondari

Kijiji cha Makome B kipo umbali wa zaidi ya Kilomita 35 kutoka makao makuu ya mkoa wa Mtwara na kipo katika kata ya Mbawala,Halmashauri ya Mtwara vijijini kilichozungukwa na Milima na Mabonde pamoja na misitu asili Na Musa Mtepa Kutokana…

1 February 2025, 11:41 am

TAKUKURU Mtwara yaokoa milioni 253.3 katika miradi 8 ya maendeleo

Huu ni utaratibu wa TAKUKURU katika kutoa taarifa kwa umma juu ya matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika kila kipindi cha miezi mitatu ya utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kuzuia na kupambana na Rushwa nchini. Na Musa Mtepa Taasisi ya Kuzuia na…

24 January 2025, 22:50 pm

Kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia yazinduliwa rasmi Mtwara

Na Musa Mtepa Leo, Januari 24, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, amezindua rasmi kampeni ya msaada wa kisheria inayoendeshwa kwa jina la Samia Legal Aid Campaign katika viwanja vya Mashujaa Manispaa ya Mtwara Mikindani. Akizungumza wakati…

Vision and Mission

Who we are

JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.

Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.

Vision

The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.

Mission

The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.

Coverage:

Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.