Recent posts
1 March 2023, 16:30 pm
Mzazi mhimili wa mienendo kwa mtoto wa kike
Na Musa Mtepa Wazazi wametakiwa kuwa karibu na watoto wa kike kwa kufuatilia minendo na tabia zao ili kufikia malengo yaliyokusudiwa kama wazazi kwa Watoto wao. “Wazazi wanatakiwa kutoa chakula kwa ajili ya vijana ili waweze kupata Elimu iliyo bora…
18 February 2023, 19:09 pm
TPA yatakiwa kuitafutia masoko Bandari ya Mtwara
Na Musa Mtepa Naibu katibu mkuu wizara ujenzi na Uchukuzi Mhe. Dk Ally Possi ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Serikali kutafuta masoko ya kuiwezesha Bandari ya Mtwara kufanya kazi kikamilifu kutokana na uwekezaji uliopo hivi sasa…
18 February 2023, 17:41 pm
Wakuu wa Wilaya watakiwa kuhakiki ubora wa Miradi ya Mwenge
Na Musa Mtepa Wakuu wa wilaya na wataalamu ngazi zote wametakiwa kukagua nyaraka mbalimbali zinazotakiwa kuwepo kwenye miradi itakayopitiwa wakati wa mbio za mwenge mkoani mtwara kutekelezwa kwa ubora ili kuepuka ubadhirifu unaoweza kujitokeza. “Navielekeza vyombo vinavyotakiwa kuchukua hatua watakapo…
18 February 2023, 09:24 am
Makala: Uhamasishaji wa kutunza bahari kwa manufaa ya baadae
By Musa Mtepa Ni mkala inayohusisha tasisi ya kiraia ya jumuia ya umoja wa wavuvi wa Jodari nchini Tanzania maarufu TUNA ALLIANCE ambao walifanya utafiti wa mazingira ya Bahari ya Hindi kutoka visiwani Zanzibar hadi mikoa ya Lindi na Mtwara.…
4 February 2023, 14:29 pm
Nipo tayari kukatwa mguu
“Wahisani na wadau wameombwa msaada wa matibu ya mguu kwa Ndg. Marias Thomas Ngole mkazi wa kitongoji cha Mijolo kijiji cha Ziwani Mkoani Mtwara baada ya kuapata ajali ya kugongwa na pikipiki miaka mitatu iliyopita.” Na Musa Mtepa Akizungumza na…
3 February 2023, 21:55 pm
Manispaa ya Mtwara yapitisha makisio ya bajeti ya sh Bil 30.1 kwa mwaka 2022/202…
Baraza la madiwani Manispaa ya Mtwara Mikindani, limepitisha makisio ya bajeti ya shilingi Bilioni 30.1 kwa mwaka 2022/2023. Na Gregory Millanzi. Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani mkoani Mtwara wameridhia kupitisha bajeti ya shilingi Bilioni 30.132 kwa mwaka…
31 January 2023, 12:07 pm
Wanawake washauriwa kukuza kipato cha familia
“Wanawake wa Mkoani Mtwara wameshauriwa kupambana katika kutafuta na kuongeza kipato cha familia na kuachana na tabia ya kuwaacha wanaume pekee katika kutekeleza majukumu ya Nyumbani.“ Na Mohamed Massanga Akizungumza na Jamii fm Radio Mwenyekiti wa kikundi cha ‘’LIYAKAYA WOMENI GROUP’’…
31 January 2023, 12:06 pm
Mama mjamzito akitumia dawa za kulevya zinamuathiri mtoto kuanzia tumboni
Mama mjamzito anayetumia madawa ya kulevya ana kiwango kikubwa cha kumuathiri mtoto akiwa tumboni, na wengi wao wanapoteza maisha wakati wa kujifungua. Na Gregory Millanzi Mama mjamzito akiwa anatumia madawa ya kulevya zinamuathili mama kwenye mfumo wake wa uzazi na…
30 January 2023, 12:37 pm
Ufahamu wa chanjo ya Corona waongeza idadi ya watu kuchanja
Picha ya Chanjo ya UVIKO 19
30 January 2023, 12:26 pm
Wapelekeni watoto waanze darasa la awali na la kwanza
Na Gregory Millanzi Wazazi na walezi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, wametakiwa kuwaandikisha watoto wenye umri wa miaka minne kwa ajili ya kuanza darasa la awali, na wenye umri wa miaka 6 kujiunga na darasa la kwanza mwaka…