Jamii FM

Recent posts

9 August 2023, 17:43 pm

Wasanii Mtwara kuchangamkia fursa

Na Msafiri Kipila Serikali imeendelea kuwawezesha na kutoa mafunzo kwa wasanii mkoani MtwaraAgosti 07, 2023 katika Ukumbi Wa TTC Kawaida hapa Mtwara, ili wasanii wapate mikopo na kujiajiri, kushiriki kwenye shughuli za maendeleo na kuchangia pato la taifa. Katika mwaka…

5 August 2023, 14:58 pm

Makala: Matumizi bora ya gesi ya kupikia majumbani

Na Musa Mtepa Makala haya yanasimulia matumizi bora ya nishati ya kupikia majumbani maarufu kama gesi ya kupikia,  ambapo mkoani Mtwara tayari wananchi wanatumia mitungi ya kampuni mbalimbali za gesi kwa ajili ya kupikia pia tayari kuna mtandao wa gesi…

3 August 2023, 14:21 pm

Kipindi: Watanzania wengi wanaishi kwenye dhana ya ndoa na sio Ndoa

Na Musa Mtepa Akizungumza katika kipindi maalumu kinachorushwa na jamii FM redio cha tarehe 25/07/2023,Hakimu Mkazi kutoka mahakama ya Mwanzo Mkoani Mtwara Ndugu Alex Robert amesema baada ya ndoa kufungwa inapaswa kusajiriwa katika taasisi  ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na…

26 July 2023, 08:06 am

Waziri Jafo ataka tathmini ya Mazingira ifanyike

Mamlaka ya bandari imepewa miezi mitatu ili kufanya ukaguzi wa mazingira (Environmental Audit) ili kuhakikisha Kuna ubora wa biashara ya makaa ya mawe Na Grace Hamisi Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira Mh. Selemani Jafo,…

26 July 2023, 07:41 am

Mashujaa waomba kazi zao zienziwe

Tunaiomba Serikali kutosahau Mashujaa tuliopo na kuenzi kazi tulizozifanya kwa taifa letu Na Msafiri kipila Kila Ifikapo Julai 25 ya Kila mwaka Tanzania huadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa ambapo kitaifa imeadhimishwa katika Uwanja wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba…

13 July 2023, 15:35 pm

Timu ya Mtoto Kwanza yatambulishwa Mtwara

Na Gregory Millanzi “Sisi kwenye mkoa wetu huu watoto wana shida kubwa ya kufanyiwa ukatili wa kijinsia, najua kupitia KIMAS na mradi huu utapambana na hatari zote ambazo zinatokana na hawa watoto, pia itaongeza uelewa wa malezi na makuzi ya…

10 July 2023, 16:20 pm

Wananchi mikoa ya kusini kunufaika na mikopo ya kilimo

Wananchi wa mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania  (TADB) Kanda ya Kusini  katika kupata uelewa na utaratibu wa kupata mikopo ili  kupata vifaa vya kisasa  vitakavyowezesha kuleta…

5 July 2023, 15:28 pm

Taharuki ujenzi wa shule Namkapi watatuliwa

Wananchi wa Kijiji cha Namkapi wamepatwa na hofu baada ya kupata tetesi za kuhamishwa kwa shughuli za ujenzi wa shule, Jamii FM imefuatilia kwa undani juu ya taarifa hizo Na: Musa Mtepa Wananchi wa kijiji cha Namkapi, kata ya Dihimba…

28 June 2023, 14:50 pm

Pembejeo za ruzuku zawafikia wakulima Mtwara

Mchakato wa ugawaji wa pembejeo ya ruzuku kwa wakulima wa zao la korosho umeanza kuwafikia wakulima   katika maeneo mbalimbali  nchini. Akizungumzia mchakato huo Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndugu Francies Alfred amesema kuwa kwa miaka miwili iliyopita ugawaji…

21 June 2023, 13:40 pm

Mila, desturi kikwazo wanawake kuwa viongozi

Mila na tamaduni zinachukua nafasi kubwa katika kuenzi nafasi za wazee katika jamii zetu, wandishi wa habari wana nafasi kubwa ya kupunguza baadhi ya mila zenye kuharibu jamii hasa wanawake. Na Musa Mtepa Wandishi wa habari mkoani Mtwara wameelezea changamoto…

Vision and Mission

Who we are

JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.

Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.

Vision

The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.

Mission

The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.

Coverage:

Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.