Recent posts
24 April 2024, 19:42 pm
CSK: watoa elimu ya ukatili Mtwara vijijini
Matukio ya ukatili wa kijinsia umekuwa ukitokea katika maeneo mbalimbali ya wilayani Mtwara hivyo ndio sababu iliyotufanya kuja kutoa elimu hapa katika Kijiji cha Nanguruwe. Na Gregory Milanzi Shirika lisilo la kiserikali la utafiti (CSK) kwa kushirikiana na Jeshi la…
23 April 2024, 17:20 pm
Vijiji 52 Mvomero kunufaika na mradi wa LTIP
lengo ni kuandaa jumla ya Mipango Shirikishi ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 52 katika Wilaya ya Mvomero ambapo hadi kufikia sasa tayari mipango 48 imekwishaandaliwa Na Mwandishi Wetu Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na…
23 April 2024, 16:58 pm
RC Mtwara akabidhi vifaa vya TEHAMA kwa walimu
Vifaa hivi vitasaidia walimu kupakua na kujiongezea maarifa kupitia mtandao ambayo yatasaidia katika kuboresha hali ya ufaulu katika shule zetu Na Musa Mtepa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala Leo tarehe 23/4/ 2024 amekabidhi vifaa vya TEHAMA kwa…
22 April 2024, 16:30 pm
Watumishi wa umma watakiwa kufanya kazi kwa weledi
Inaonesha kumekuwa na ongezeko la vitendo vya utovu wa nidha kwa watu wa umma wakiwa kazini ikiwemo Rushwa na upungufu wa maadili. Na Mwanahamisi Chikambu Kamishina wa utumishi umma Balozi John Haule amewataka watumishi wa umma mkoa wa Mtwara kufanya…
21 April 2024, 16:26 pm
Wananchi Mtwara washauriwa kuwa na utamaduni wa kupanda miti
Miti na misitu ina faida nyingi kwa maisha ya binadamu ikiwa ni Pamoja na kuwa chanzo cha mvua,dawa ,chakula na ni chanzo cha bidhaa za ujenzi Na Gregory Milanzi Wananchi wameshauriwa kuwa na utamaduni wa upandaji wa miti ili kukabiliana…
19 April 2024, 21:14 pm
Maji bonde la Ruvuma, Pwani ya Kusini ni stahimilivu kwa wananchi
Bonde limefanya tathmini ya maji yaliyopo juu ya ardhi na chini ya ardhi na linavituo vya kufuatilia mienendo ya maji na tunatoa vibari kwa wahitaji wa matumizi ya maji hasa kwa wanaohitaji kuweka miundombinu. Na Musa Mtepa Jumla ya vyanzo…
18 April 2024, 23:38 pm
Mila ya Jando na unyago inavyo mrudisha nyuma mtoto wa kike kupigania nafasi za…
Jamii ya mikoa ya kusini tangu enzi za mababu wamekuwa na mila ya jando na unyago kwa watoto wa kike na kiume huku dhamira kubwa ilikuwa kuwatengeneza watoto kuwa heshima na busara mbele ya wakubwa hali ambayo imekuwa tofauti kwa…
18 April 2024, 21:57 pm
Jamii yatakiwa kufahamu umuhimu wa kutunza vyanzo vya maji
Shughuli zinazofanywa karibu na vyanzo vya maji zimekuwa zikihatarisha uwepo wake huku mamlaka zikiombwa kuendelea kutoa elimu ya athari hasi na umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji. Na Msafiri Kipila Mammlaka zinazo simamia vyanzo vya maji zimeombwa kutoa Elimu…
16 April 2024, 13:03 pm
Wananchi Mangamba Chini walia na ubovu wa barabara
Barabara hiyo hivi sasa imekuwa Mbovu kupitiliza ukilinganisha na kipindi cha nyuma ambacho Gari zinazobeba Watoto kuwapeleka shuleni zilikuwa zinapita bila mashaka lakini kwa hivi sasa imekuwa tofauti Na Grace Hamisi Wananchi wa mtaa wa Mangamba Chini Manispaa ya Mtwara…
16 April 2024, 08:55 am
Wazazi kikwazo watoto kumaliza elimu ya msingi Mtwara DC
Wazazi wengi wamekuwa wakiweka nguvu kubwa kwenye mila ya Jando na unyango kuliko Elimu Na Musa Mtepa Inaelezwa kuwa Wazazi kutotambua umuhimu wa Elimu ndio chanzo cha Watoto wengi kutomaliza Elimu ya Msingi katika Halmashauri ya Mtwara Vijijini. Wakizungumza na…