Recent posts
15 June 2024, 18:02 pm
DC Nanyumbu aapishwa, aahidi kusimamia miradi ya maendeleo
“Nitahakikisha ninasimamia miradi yote ya maendeleo katika wilaya ya Nanyumbu pamoja na kuwa na ushirikiano na watendaji wengine wa wilaya ili kutimiza matakwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na serikali yake”.…
15 June 2024, 15:45 pm
TPDC yatoa mafunzo kwa wanafunzi wa STEMCO Mtwara
Sekta ya mafuta na gesi ni sekta nyeti ambayo wananchi wengi wanapaswa kufahamu nini kinafanyika huko na miradi gani inatekelezwa hivyo kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2015 (Petroleum Act 2015) inaipa TPDC hadhi ya kuwa shirika la mafuta katika…
14 June 2024, 21:11 pm
RC Sawala ashuhudia utiaji saini kongani la viwanda Maranje Mtwara
Kusainiwa kwa makataba huu kati ya Bodi ya KoroshoTanzania (CBT) na mkandarasi na kampuni ya Malagarasi Enterprises and Contractors Limited ni mwanzo wa CBT kumiliki viwanda vya pqmoja vya kubangua korosho na kusindika bidhaa zake ambapo uendeshaji wa viwanda hivi…
13 June 2024, 19:00 pm
Madiwani halmashauri ya Kilindi wajifunza uzalishaji wa Korosho TARI Naliendele
Baada ya kikao kilichoagiza kila halmashauri kuwa na vyanzo vipya vya mapato halmashauri ya Kilindi ilifikiria kuwa zao la korosho linaweza kuwa chanzo sahihi cha kuongeza mapato kwa siku za usoni hasa hamasa ikitolewa kwa wananchi na ukizingatia kuna misitu…
8 June 2024, 18:47 pm
Mwenge wa uhuru wakabidhiwa mkoani Ruvuma
Niwapongeze viongozi wote ,wa serikali na wa chama kwa kusimamia vizuri miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika mkoa wa Mtwara ,ni mpongeze mkuu wa wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda kwa kazi nzuri aliyoionesha wakati wa mbio za Mwenge kwani amekimbiza katika…
6 June 2024, 15:18 pm
Makala: Serikali na uboreshaji wa huduma ya afya ya mama mjamzito na watoto
Na Gregory Millanzi na Mwanahamisi Chikambu Baadhi ya Wananchi wa Mkoa wa Mtwara waliwahi kulalamika kwenye makala zilizopita, kuhusu hali ya utolewaji wa huduma bora ya afya ya mama mjamzito na mtoto kwenye vituo vya afya na Hospitali, kuwa kuna…
5 June 2024, 17:17 pm
Wakulima wa mwani, wavuvi Mtwara waingia mgogoro
Kwa kawaida zao la mwani ni kivutio cha samaki kutoka maji mengi na kufika kwenye maji madogo kwa ajili ya kupata chakula, makazi na wakati mwingine kuzaliana. . Na Musa Mtepa Katika hali isiyotarajiwa wakulima wa mwani kutoka vijiji vya…
5 June 2024, 16:47 pm
NEMC Kanda ya Kusini yashiriki zoezi la upandaji wa mikoko Namela
Kati ya miti ambayo inafyonza hewa chafu kwa uwingi na kwa haraka ni mikoko hivyo kitendo cha kupanda katika eneo la kigongo ni katika kuendeleza harakati za kupunguza hewa chafu na ni fursa kwa maeneo mengine ya pwani ya kusini…
3 June 2024, 18:45 pm
Wadau wa mazingira Mtwara waiomba serikali kupunguza bei ya mitungi ya gesi ya k…
Serikali na makampuni yanayotengeneza na kuuza mitungi ya gesi iangalie namna nyingine ya kutengeneza mitungi midogo yenye gharama nafuu ili mwananchi wa hali wa chini aweze kuinunua na kutumia ikiwa kama njia ya kupunguza matumizi ya nishati chafu ya kupikia…
3 June 2024, 12:33 pm
NEMC kanda ya kusini yawataka vijana kuchangamkia fursa za kimazingira
Kongamano hili ambalo limehusisha wadau mbalimbali wanataaluma,wanafunzi ,taasisi za serikali na binafsi huku matarajio ya ujumbe kufika ukiwa mkubwa kwa wadau kwani kumekuwa uwasilishaji wa mada mbalimbali hasa kwa upande wa zao la korosho na jinsi ya kukabiliana na mabadiliko…