Jamii FM
Jamii FM
23 April 2025, 13:27 pm

Kampeni hii ya upandaji miti imefadhiliwa na wadau wa mazingira kutoka Finland kwa kushirikiana na Jamii FM Redio chini ya usimamizi wa mtaalam wa utafiti wa misitu Mzee Orestus Kinyero
Na Musa Mtepa
Afisa Mstaafu wa Utafiti wa Miti na Misitu Mzee Orestus Kinyero anaeleza kwa kina kampeni ya upandaji miti katika shule za sekondari Naliendele na Mangamba Day ambapo kupitia kampeni hii itawezesha kutengeneza klabu za mazingira katika shule hizo.