Mpanda FM
Mpanda FM
16 September 2022, 4:37 am
MPANDA Wakulima Kata ya makanyagio wametakiwa kuendelea kujiandikisha katika maeneo wanayofanyia shughuli za kilimo ili kunufaika na ruzuku ya mbolea iliyotolewa na serikali. Akitoa ufafanuzi huo wakati akizungumza na mpanda radio fm mtendaji wa kata hiyo Dolnad Edward amesema serikali…
16 September 2022, 4:28 am
KATAVI Wananchi mkoani Katavi wamepaswa kufichua na kushiriki katika kutoa taarifa na vitendo vya kiharifu ili kukomesha vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na Inspekta Kelvin Fuime kutoka ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa Dawati la Jinsia, ambapo amesema ni wajibu wa…
16 September 2022, 4:07 am
MPANDA Baadhi ya watembea kwa miguu katika manispaa ya mpanda mkoani katavi wamewalalamikia madereva wa vyombo vya moto kutozingatia sheria na alama za usalama barabarani pindi wanapoendesha. Wakizungumza na mpanda redio fm wananchi hao wameeleza kuwa wanakutana na changamoto ya …
15 September 2022, 10:06 pm
KATAVI Wajasiliamali wadogo wadogo maarufu kama machinga Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamezungumzia changamoto wanazokutana nazo katika utoaji wa mikopo katika vikundi. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio Fm, na kubainisha sababu zinazopelekea baadhi ya vikundi kutopata mikopo baada…
15 September 2022, 9:55 pm
KATAVI Mkoa wa Katavi umepokea mradi wa miaka mitano utakao gharimu Bilioni 40 unaosimamiwa na serikali ya Marekani chini ya taasisi ya afya ya Ifakara utakoshirikiana na Mkoa kusimamia huduma za Malaria . Akizungumza wakati wa kutambulisha mradi huo mkurungezi…
8 September 2022, 7:27 pm
KATAVI Baadhi ya wananchi wanao ishi mtaa wa Tambukareli kata ya uwanja wa ndege manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuwalipa fidia ili waweze kutoka katika makazi hayo. Wakizungumza na mpanda redio fm wamesema kuwa ni muda mrefu sasa…
8 September 2022, 7:25 pm
KATAVI Vijana mkoani Katavi wameshauriwa kutofanya maamuzi mabaya pindi wanapogubikwa na changamoto na badala yake waombe ushauri kwa watu wanaowazunguka. Hayo yamesemwa na baadhi ya vijani mkoani hapa wakati wakizungumza na mpanda radio fm wamesema athari za matatizo ya kisaikolojia…
8 September 2022, 7:19 pm
TANGANYIKA Wananchi wakijiji cha Vikonge kata ya Tongwe wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wamepongeza jitihada zinazo fanywa na serikali katika kutekeleza mradi wa maji kijijini hapo. Wakizungumza na mpanda redio fm wananchi hao wamesema kuwa kukamilika kwa mradi huo kutawapunguzia…
8 September 2022, 6:49 pm
IVUNGWE- MPANDA Siku chache tangu barabara ya ivungwe kuanza kurekebishwa kwa ahadi ya mbunge Sebastiani Kapufi wananchi wametakiwa kuwa wavumilivu wakisubiri kumalizika kwa mradi huo kutokana na changamoto ya kuharibika kwa mtambo wa kutengeneza barabara hiyo. Akizungumza kwa njia ya…
7 September 2022, 11:03 am
MAJENGO-MPANDA Wananchi wa kata ya Majengo Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamelalamikia tozo ya taka kuwa kubwa na kusema kuwa hata utolewaji wa taka hizo ni wa kusuasua. Akizungumza kwa niaba ya wananchi wengine Sarafina Paul amesema tozo ya…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
