Mpanda FM
Mpanda FM
20 October 2022, 5:24 am
MPANDA Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka Shirika la umeme mkoa wa Katavi ndani ya wiki tatu kuhakikisha umeme unafika katika hospitali mpya ya mkoa wa Katavi Akitoa maagizo wakati akijibu taarifa ya mganga mfawidhi wa hospitali teule…
20 October 2022, 5:11 am
MPANDA Wafanyabiashara wa soko la kilimahewa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameuomba uongozi wa halamshauri hiyo kuboresha miundombinu katika soko jipya la kawalioa. Wakizungumza na Mpanda fm wafanyabiashara hao wamesema kuwa licha ya kuwepo kwa taarifa ya kuhamia katika soko…
14 October 2022, 5:51 am
MPANDA Wajasiriamali Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia Tabia isiyofaa inayofanywa na baadhi ya wateja ya kuchukua bidhaa kwa mkopo na kuchelewa kuwalipa jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo yao kiuchumi. Wakitoa malalamiko hayo wakati wakizungumza na kituo hiki wajasiliamali…
14 October 2022, 5:25 am
Wazazi ambao wana watoto wenye ugonjwa wa Mguu kifundo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepongeza uwepo wa matibabu ya mguu kifundo katika hospitali ya rufaa Mkoani hapa. Wakizungumza na Mpanda radio fm wazazi wamesema wengi waligundua ugonjwa walipozaliwa na kufanya…
11 October 2022, 11:43 am
KATAVI. Vijana Mkoani katavi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kumuenzi baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambalage Nyerere kwa kuwa wazarendo na kudumisha amani ya taifa kuelekea kumbukizi ya miaka 23 ya kifo chake. Kauli hiyo imetolewa na Rafael Peleleza kijana…
11 October 2022, 11:07 am
KATAVI Katika Kuadhimisha Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Afya ya Akili, baadhi ya vijana Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameonyesha kutokua na uelewa juu ya tatizo la Afya ya Akili . Wameyasema ayo wakati wakizungumza na Kituo hiki huku…
11 October 2022, 10:35 am
MPANDA Baadhi ya wakulima wa mazao kata ya Minsukumilo halmashauri ya Mpanda wameishukuru serikali kwa kuwapa ruzuku ya mbolea. Wakizungumza na Mpanda radio FM wakulima hao wamesema ruzuku hiyo itasaidia kuongeza mavuno tofauti na hapo awali huku wakiwahamasisha wakulima wengine…
4 October 2022, 5:49 am
KATAVI Wazazi kutohusika kwenye malezi ya watoto wao imekuwa ni chanzo cha watoto kujihusisha kwenye shughuli mbalimbali za kujitafutia kipato, muda ambao watoto hao walipaswa kuwa shule. Wakizungumza na mpanda Radio fm baadhi ya watoto wakiwa kwenye shughuli za kujitafutia…
4 October 2022, 5:32 am
MPANDA Baadhi ya Wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani katavi wametoa maoni yao kuhusiana na madhara yanayosababishwa na matumizi ya vipodozi vyenye kemikali. Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wamesema kuwa kuna madhara kwa mtu anayejichubua anaharibu ngozi yake…
16 September 2022, 4:43 am
MPANDA Zaidi ya wanafunzi 5000 katika Kata ya Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani katavi hawana sehemu ya kusomea hali ambayo inapelekea kusomea nje. Akizungumza na Mpanda Redio FM Diwani wa Kata ya Shanwe Masumbuko Makolo kolo amesema kuwa shule zilizopo…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
