Recent posts
19 November 2021, 10:44 am
Wafanyabiashara Soko la Matunda Walia na Vibanda
Baadhi ya wafanyabiashara soko la matunda lililopo mtaa wa kawajense Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameuomba uongozi wa soko kuwawekea mfumo mzuri wa uwepo wa vibanda vya kuuzia bidhaa zao. Wakizungumza na mpanda radio FM wafanyabiashara hao wamezitaja changamoto…
19 November 2021, 10:29 am
Bilioni Nne Kunufaisha Halmashauri ya Nsimbo
Halmashauri ya Nsimbo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imepata zaidi ya shiling bilioni nne kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo vyumba vya madarasa. Akizungumza na kituo hiki mkurugenzi wa halmashauri hiyo Mohamed Ramadhani amesema kuwa kupatikana fedha…
19 November 2021, 10:14 am
12,000 Wapata Chanjo ya Sinopharm
KATAVI Zaidi ya wananchi elfu nne mkaoni katavi wamepata chanjo ya dozi ya kwanza ya sinopharm na kufanya idadi ya watu waliopata chanjo ya uviko19 kufikia elfu kumi na mbili mkoani hapa. Kauli hiyo imetolewa na mganga mkuu wa mkoa…
26 October 2021, 6:35 pm
Wakulima Mkoani Katavi Walia Bei ya Pembejeo
KATAVI Wakulima Mkoani Katavi wameiomba serikali kuwapunguzia bei ya pembejeo za kilimo zikiwemo mbolea pamoja na mbegu. Wakizungumza na Mpanda radio FM wakulima hao wamesema ili waweze kuendelea kulima kwa faida na kwa haraka wanapaswa kupata pembejeo kwa wakati na…
26 October 2021, 5:56 pm
Mstahiki Meya: Simamieni fedha za miradi
MPANDA Mstahiki meya wa manspaa ya Mpanda Haidary Sumry amewaagiza madiwani kufuatilia fedha zinazopitishwa kwenye miradi ya maendeleo ili kukamilika kwa wakati. Akizungumza katika baraza la madiwani amesema ufuatiliaji huo utasaidia kiwango Cha pesa zinazoelekezwa kwenye miradi kuendana na kasi…
25 October 2021, 6:44 pm
Silverland yawa Mkombozi kwa Wafuga Kuku Katavi
MPANDA. Baadhi ya wafugaji wa kuku manispaa ya mpanda mkoani katavi waishukuru kampuni ya silverlands kwa kuwapa mafunzo ya ufugaji kuku wenye tija. Wameyasema hayo walipokua wakizungumza na mpanda radio fm mara baada ya mafunzo yaliyofanyika katika ofisi ya mtendaji…
25 October 2021, 6:32 pm
Marieta Mlozi Awafunda Wanawake Katavi
KATAVI Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya mpanda marieta mlozi amewataka wanaume kuacha tabia ya kuwakatiza wanawake kujishungulisha katika kazi mbalimbali za kujiingizia kipato. Akizungumza na mpanda radio fm Marieta ameeleza kuwa wanawake wengi wamekuwa wakipitia vitendo vya unyanyasaji kijinsia…
25 October 2021, 5:49 pm
Zaidi ya Milioni 100 Kukamilisha Ujenzi wa Shule Nsemurwa
MPANDA Halmashauri ya manispaa ya mpanda mkoani katavi imetenga shilingi milioni mia moja kwa lengo la kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari nsemulwa kabla ya kufika mwaka 2022. Kauli hiyo imetolewa na meya wa manispaa ya mpanda Aidary Sumry alipokuwa…
13 October 2021, 8:58 am
Mufti Mkuu Tanzania: Bakwata tafuteni hati
OKTOBA 6, 2021 KATAVI Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuberi amewataka makatibu wa misikiti yote Mkoani katavi kuhakikisha wanapata hati miliki za viwanja vyote vinavyomilikiwa na baraza la waislam Tanzania BAKWATA. Shekh mkuu wa Tanzania ameyasema hayo…