Recent posts
23 May 2022, 1:42 pm
UMASKINI, CHANZO MIMBA ZA UTOTONI
KATAVI Umaskini wa kipato umetajwa Kuwa chanzo moja wapo cha kinachopelekea mimba za utotoni kwa baadhi ya familia mkoani katavi. Wakizungumza na mpanda redio fm baadhi ya wazazi hao wameeleza namna umaskini wa familia unavyosababisha mabinti wengi kupata mimba kabla…
23 May 2022, 1:32 pm
MGANGA WA KIENYEJI MBARONI KWA ULAWITI
Jeshi la polisi mkoani katavi limefanikiwa kumkamata mganga wa kienyeji akili abakuki almaarufu kama jimmy mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa majengo kwa tuhuma za kulawiti watoto wenye umri kati ya miaka 6 hadi 12 alipokuwa akiwapatia matibabu…
23 May 2022, 1:03 pm
DC TANGANYIKA UMEME KAREMA KABLA YA MAY 20
KATAVI. Mkuu wa wilaya ya tanganyika onesmo buswelu amelitaka shirika la umeme mkoa wa katavi kuunganisha umeme katika bandari ya karema kabla ya may 20 mwaka huu kwakuwa mradi huo upo katika hatua za mwisho kukamilika. Buswelu ametoa angizo hilo…
30 March 2022, 4:59 pm
Uvamizi Misitu: Kilio kwa Sokwe Mtu
Uvamizi wa maeneo ya hifadhi za misitu mkoani Katavi imetajwa kuwa chanzo cha mnyama sokwe mtu kuendelea kupungua. Josephine Lupia na afisa misitu kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa amesema kuwa tabia ya baadhi ya wananchi kufanya shughuli za kibinadamu…
30 March 2022, 4:29 pm
RADI YAUWA NG’OMBE 28 KATAVI
KATAVI Ng’ombe 28 kati ya 52 waliokuwa pamoja wanatoka malishoni wa kaya tano tofauti kijiji cha Kabage kata ya Sibwesa Wilayani Tanganyika mkoa wa katavi zimekufa baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua na upepo mkali. Hayo yameelezwa na…
30 March 2022, 1:16 pm
AJINYONGA BAADA YA KUMJERUHI MUMEWE
KATAVI. Mkazi wa kitongoji cha Kamlenga, Kijiji cha Sibwesa wilayani Tanganyika, Mande Emanuel (30) amejinyonga baada ya kumjeruhi mumewe, Dotto Enos (35) kwa kumkata mapanga. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ally Makame amedhibitisha…
20 November 2021, 1:13 pm
Mabalozi Wapewa Darasa na Ewura
Mwenyekiti wa baraza la ushauri watumiaji wa huduma za nishati na maji katika mkoa wa Katavi EWURA CCC Steven Kinyoto amewataka wenyeviti wa mitaa katika manispaa ya Mpanda kuwa mabalozi kwa kuelimisha jamii katika kupata haki zao kwa watumiaji wa…
20 November 2021, 1:06 pm
Maoni ya Wananchi juu ya Katazo kwa Madalali
Baadhi ya wananchi manispaa ya mpanda mkoani katavi wamekuwa na maoni tofauti juu ya katazo la madalali wa nyumba kupewa kodi ya mwezi mmoja. wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wameleza kufurahishwa kwa marufuku hiyo huku wengine wakionesha kutoridhishwa…
20 November 2021, 12:30 pm
Mkuu wa Wilaya: Wakurugenzi Simamieni Miradi
Mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusuph amewaagiza wakurugenzi wa manispaa ya mpanda na halmashauri ya nsimbo kusimamia miradi ya maendeleo ili inapokamilika iwe na ubora unaoendana na thamani ya pesa iliyotolewa. Akizungumza katika kikao cha kamati ya ushauri ya…
20 November 2021, 12:25 pm
Hifadhi ya Katavi na Utajiri wa Viboko
Hifadhi ya taifa mkoani katavi inatajwa kuwa moja ya hifadhi inayoongoza kuwa na viboko wengi afrika huku idadi ya viboko hao ikikadiriwa kuwa ni zaid ya milioni mbili . Hayo yamebainishwa na muongoza watalii katika hifadhi hiyo God listern Isaya…