Recent posts
7 September 2022, 11:03 am
Wananchi Walalamikia TOZO ya Taka
MAJENGO-MPANDA Wananchi wa kata ya Majengo Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamelalamikia tozo ya taka kuwa kubwa na kusema kuwa hata utolewaji wa taka hizo ni wa kusuasua. Akizungumza kwa niaba ya wananchi wengine Sarafina Paul amesema tozo ya…
7 September 2022, 10:55 am
Wananchi Wahoji Mil. 10 Kutumika Kujenga Choo Mnadani
KATAVI Uongozi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi umetoa ufafanuzi juu ya swali la mwananchi kutaka kujua kiasi cha fedha cha Tsh Milion kumi kilichotumika katika ujenzi wa choo cha wafanyabiashara wa Mnada Kapripoiti. Akizungumza katika Mkutano…
7 September 2022, 10:50 am
CCM Yasafisha Kichaka cha Muda Mrefu
MPANDA Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM kata ya Mpanda Hotel wameeleza umuhimu wa kufanya usafi wa mazingira. Wameyasema hayo wakati wakitekeleza zoezi la usafi katika eneo la chama hicho ambalo lilikuwa likitumika kama kichaka cha kutupa taka…
6 September 2022, 10:23 am
Wananchi Mkoa wa Katavi waachana na tahadhari za UVIKO 19
KATAVI Baadhi ya Wananchi mkoani Katavi wameonekana kuacha kuzingatia tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 tofauti na ilivyokua hapo awali. Mpanda radio imepita katika maeneo mbalimbali mkoani hapa na kubaini kuwa hakuna tahadhari yeyote inayochukuliwa ya kujikinga na ugonjwa…
5 September 2022, 11:08 am
Wananchi Wa Ivungwe Walilia Shule Shikizi
IVUNGWE Wananchi wa Kitongoji cha Ivungwe A kijiji cha Kasokola wameulalamikia uongozi wa serikali ya kijiji kwa kushindwa kuendeleza Mpango wa kujenga shule shikizi katika kitongoji hicho licha ya kuchanga pesa na kufyatua tofali. Wakizungumza na Mpanda radio fm wananchi…
5 September 2022, 10:51 am
Kizungumkuti Viwatilifu Vya Korosho
Wananchi wa kijiji cha Isinde kata ya Mtapenda Halimashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamelalamikia kutopewa viwatilifu kwaajili ya zao la korosho licha ya kuwa wakulima wa zao hilo zaidi ya miaka mitano. Wakizungumza na kituo hiki wakulima hao wamesema kuwa …
8 June 2022, 4:19 pm
WANANCHI WAASWA KUJIKINGA NA BARIDI KUTOKANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
Wananchi mkoani katavi wametakiwa kuchukua tahadhali ya kujikinga na baridi kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi katika kipindi cha mwezi june hadi agosti. Hayo yamebainishwa na Emily Elinest kutoka mamlaka ya hali ya hewa Tanzania mkoa wa Katavi ambapo…
8 June 2022, 4:17 pm
WANANCHI WALALAMIKIA VIBAO VYA MBAO
MPANDA Baadhi ya wakazi wa mtaa wa mtemibeda kata ya misunkumilo manispaa ya mpanda mkoani katavi wameutaka uongozi wa manispaa kuondoa vibao vya mbao vinavyoonesha majina ya mitaa na barabara na badara yake kuwekewa vya chuma kama ilivyo kwa maeneo…
8 June 2022, 4:14 pm
HAKI ZA WATOTO ZIZINGATIWE
Jamii imetakiwa kutambua kuwa Ajira kwa watoto zina athiri malengo na afya zao kiujumla . Wakizungumza na mpanda fm wakazi wa halmashauri ya Manspaa Mpanda wamesema kuwa ziko familia ambazo zinawafanyisha kazi watoto hali inayodhorotesha afya za watoto hao. Sambamba…
8 June 2022, 4:09 pm
WAMILIKI WA MAGHALA WAASWA KUTUNZA NYARAKA KUSAIDIA KUPATA TAKWIMU ZA UZALISHAJI…
Afisa kilimo manispaa ya Mpanda Benatus Ngoda amewataka Wamiliki wa maghala ya kutunzia vyakula mkoani Katavi kutunza nyaraka ili kusaidia kupata takwimu sahihi za chakula kinachozalishwa kwa mwaka nchini na kutunza chakula kwa usalama. Akizungumza na Mpanda radio fm Ameeleza…