Mpanda FM

Recent posts

23 November 2022, 5:47 pm

Wafanyabiashara wametakiwa kulipa Ushuru

MPANDA Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kutoa ushuru kikamilifu,ili fedha hizo ziweze kusaidia kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwamo ya elimu na afya. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Sofia Kumbuli ambapo amesema kuwa swala…

3 November 2022, 5:58 am

Wanawake Mkoani Katavi Wameeleza Walivyonufaika na Wiki ya Mwanakatavi

KATAVI Baadhi ya wanawake wajasiliamali mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo wamenufaika na maonesho ya wiki ya Mwanakatavi yanayolenga kuhamasisha kilimo na Utalii. Wakizungumza wakati wa maonesho hayo wajasiliamali hao wamesema maonesho hayo licha ya kuwanufaisha kibiashara pia wanapata nafasi ya…

3 November 2022, 5:48 am

Anusurika Kifo Baada ya Kuchomwa Kisu na Mumewe (Diwani)

KATAVI Mwanamke anaefahamika kwa majina ya Restuta Januari (Miaka 41) mkazi wa Kata ya Itenka Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi amenusurika kifo baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili wake na anae tajwa kuwa ni…

3 November 2022, 5:29 am

Wananchi wilaya ya Tanganyika Wajitokeza Kupata Chanjo ya Uviko-19

KATAVI Baadhi  ya wananchi  wa Luhafe wilayani Tanganyika wamejitokeza kupata chanjo ya uviko 19 kijijini hapo, inayoratibiwa na taasisi ya Benjamini Mkapa. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wananchi waliopata chanjo ya Uviko 19, wameishukuru serikali pamoja na wadau kwa…

21 October 2022, 11:15 am

Wazazi Waaswa Kuwajibika kwa Malezi ya Watoto, Kuepusha Mimba za Utotoni

KATAVI Wazazi mkoani Katavi wametakiwa kuhakikisha wanawajibika katika malezi ya Watoto wao ili kuepusha kutokea kwa mimba za utotoni. Wakizungumza na Mpanda radio fm baadhi ya wakazi mkoani hapa wamesema mimba za utotoni mara nyingi zinatokea pindi kukiwa hakuna misingi…

21 October 2022, 11:10 am

Wananchi Waaswa Juu ya Tahadhari ya Magonjwa ya Mlipuko

MPANDA Wananchi  Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya magonjwa ya milipuko ikiwamo kuhara kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni sambamba na kutibu maji ya kunywa. Afisa afya Manispaa ya Mpanda Erick Kisaka ameitaka jamii…