Recent posts
18 May 2023, 7:09 pm
Sauti ya Katavi (Matukio)
TANGANYIKA. Wakazi wa kijiji cha kasinde kata ya kabungu Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika wameutaka uongozi wa kata hiyo kutatua changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imekuwa kikwazo kwa kipindi kirefu. Wakizungumza na Mpanda redio fm…
17 May 2023, 7:16 pm
Sauti ya Katavi (Matukio)
KATAVI-TANGANYIKA Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kasinde wameutaka uongozi wa kijiji hicho kutolea ufafanuzi utaratibu uliopo katika uchimbaji wa madini ya COPPER yaliyopo katika mlima wa kijijini hapo. Hii inajiri mara baada ya uwepo wa taarifa za uwepo wa…
17 May 2023, 7:08 pm
Zaidi ya mbwa 621 wauwawa Katavi
MPANDA Zaidi ya mbwa 621 wameuawa kufuatia zoezi lililofanyika kwa awamu nne la kuangamiza mbwa wasio na makazi maalum ili kuondoa mrundikano wa mbwa wenye vichaa ndani ya manispaa ya Mpanda. Hayo yamesemwa na Afisa Mifugo wa manispaa ya Mpanda…
17 May 2023, 7:07 pm
Wananchi waomba elimu sahihi ya matumizi ya gesi
KATAVI Baadhi ya wananchi mkoani Katavi wameomba kupatiwa elimu juu ya matumizi sahihi ya nishati mbadala ya (gas). Wakizungumza na Mpanda Radio FM wamesema watu wengi wamekuwa wakitumia nishati hiyo kwa mazoea bila kuwa na elimu sahihi ya matumizi yake…
17 May 2023, 10:43 am
Sauti ya Katavi (Matukio)
MPANDA Zaidi ya Mbwa 621wameuawa kufuatia zoezi lililofanyika kwa awamu nne la kuangamiza mbwa wasio na makazi maalumu ili kuondoa mbwa wenye vichaa ndani ya manispaa ya mpanda. Zoezi hilo limefanyika katika kata zote za manispaa ya mpanda na kufanikiwa…
17 May 2023, 10:18 am
Madereva Mpanda walia na ubovu wa barabara
MPANDA Watumiaji wa vyombo vya moto Halmashuri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi walalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara na kutaka marekebisho yafanyike na mamlaka husika. Wakizungumza na Mpanda Redio FM wamesema hali ya barabara siyo ya kuridhisha kwani barabara…
17 May 2023, 10:15 am
Wazazi waaswa kurejea malezi ya zamani
TANGANYIKA Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu ametoa wito kwa wazazi kurudi enzi za nyuma kwa kutenga muda wa kuzungumza na watoto wao badala ya kuwawekea katuni kwenye runinga huku watoto wakiendelea kuharibika kimaadili. Buswelu ametoa wito huo katika…
15 May 2023, 7:34 pm
Waandishi wa Habari Katavi, Kazi Iendelee
KATAVI Waandishi wa Habari Mkoa wa Katavi wameaswa kuendelea kuhabarisha mambo yanayofanywa na serikali katika sekta Mbalimbali ili wananchi wafahamu namna serikali inanyo sogeza huduma hizo kwa Wananchi. Deodatus Kangu Afisa utumishi wa Manispaa ya Mpanda aliye Mwakilisha Msitahiki meya…
15 May 2023, 7:31 pm
Vijana Katavi waaswa kuchangamkia fursa
KATAVI Vijana mkoa wa Katavi wameaswa kuchangamkia fursa zinazotolewa na serikali kwa kuunda umoja na kusajiliwa kisheria na Bodi ya wakandarasi ili waweze kupata kazi zinazotolewa na serikali kupitia wakala wa Barabara Tanrods katika mkoa wa Katavi. Ushauri huo umetolewa…
12 May 2023, 8:15 am
Barabara ya Mpanda – Karema Mbioni Kuanza Ujenzi
TANGANYIKA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anae shughulikia Sekta ya Ujenzi Ludovick Nduhye amefanya ziara ya kutembelea barabara ya kutoka Mpanda kwenda Bandari ya Karema ambayo inatarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni mwaka huu kwa kiwango cha…