Recent posts
7 June 2023, 10:22 am
Wananchi Dirifu waomba ufafanuzi kuhusu RK
MPANDA Wananchi wa kijiji cha Dirifu wameuomba uongozi wa mkoa wa Katavi kutolea ufafanuzi juu ya uwepo wa mwekezaji (Raymond Kamtoni RK ) katika machimbo ya mlima wa kijiji hicho. Wakizungumza katika mkutano wa mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua…
7 June 2023, 10:19 am
Katavi: Agizo la RC upatikanaji maji soko la matunda lapuuzwa
MPANDA Ikiwa saa 24 zimepita baada ya agizo la kupatikana maji Soko la Matunda lililopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wafanyabiashara wameomba uongozi wa mkoa kufuatilia kwa kina upatikanaji wa maji sokoni hapo. Wameyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio…
7 June 2023, 10:15 am
Marufuku kufyatua tofali Bonde Mto Misunkumilo
MPANDA. Kufuatia katazo la kufanya shughuli za ufyatuaji tofali katika eneo la bonde la mto Misunkumilo mtaa wa Mpanda Hotel serikali ya kata imepiga marufuku shughuli hizo. Akizungumza na Mpanda Radio Fm afisa mtendaji wa kata hiyo Carolina Medadi Yohana…
1 June 2023, 10:18 am
Sauti ya Katavi (Matukio)
MPANDA Chama cha ACT Wazalendo kimewataka wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kufanya mabadiliko ya kiuongozi ifikapo mwaka 2025 ili kuepukana na changamoto mbalimbali za kimaisha ambazo wamekuwa wakikutana nazo. Hayo yamezungumzwa na uongozi wa chama cha ACT katika…
1 June 2023, 10:09 am
Wazazi waaswa kuchangia miradi ya maendeleo shuleni
MPANDA Wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Uhuru manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kujikita katika kuchangia miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia wanafunzi changamoto zitokanazo na upungufu wa madawati pamoja na matundu ya vyoo. Kauli hiyo imetolewa na diwani…
1 June 2023, 10:05 am
Wafanyabiashara Shanwe kuneemeka na soko jipya
MPANDA Wafanya biashara wa mtaa wa Shanwe kata ya Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wanatarajia kuanza kufanya biashara Juni mosi katika soko jipya, baada ya kupewa viwanja katika eneo la soko ililokuwa limetengwa kwa muda mrefu. Wakizungumza na Mpanda…
30 May 2023, 10:19 am
Sauti ya Katavi (Matukio)
MPANDA Wafanyabiashara wilaya Mpanda mkoani Katavi wameishutumu Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Katavi kuwa ni moja ya chanzo cha kufirisika kwa mitaji yao. Wafanyabiashara hao wamebainisha hayo katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza…
30 May 2023, 10:10 am
Wakurugenzi watenge bajeti sekta ya michezo
MPANDA Katibu tawala wa mkoa wa Katavi Hassan Rugwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani hapa kuhakikisha wanatenga bajeti ili kuwezesha sekta ya michezo. Akizungumza wakati wa kufungwa kwa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za msingi…
30 May 2023, 10:06 am
Wakulima wa pamba Tongwe walia na bei ya zao hilo
KATAVI Wakulima wa zao la pamba kijiji cha Vikonge kata ya Tongwe halmshauri ya wilaya ya Tanganyika wameiomba serikali kupitia Wizara ya Kilimo kuongeza bei ya zao hilo. Wakizungumza katika uzinduzi wa soko la mauzo ya zao la pamba katika…
26 May 2023, 10:57 am
Sauti ya Katavi (Matukio)
MPANDA Wadau wanaozalisha mazao yatokanayo na mifugo Mkoa wa Katavi, wametakiwa kufuata sheria, ikiwemo kuboresha usafi katika mabucha, na kuepuka matumizi ya magogo na vyuma vyenye kutu ili kulinda afya ya walaji. Afisa Mfawidhi wa Bodi ya Nyama Kanda ya…